Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
- Thread starter
- #81
Ina maana ulipumzika kwake mkuu?Hahaha, kaimba kwaya wapi?
Nimemkuza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana ulipumzika kwake mkuu?Hahaha, kaimba kwaya wapi?
Nimemkuza tu.
Hapana, nilimfunda ulimbwende.Ina maana ulipumzika kwake mkuu?
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAwewe Full mind unafuata nini humu? ebu tutokee hapa
Aisee, kumbe wewe ni mwanamitindo.Hapana, nilimfunda ulimbwende.
Ulimbwende ni zaidi ya mitindo.Aisee, kumbe wewe ni mwanamitindo.
Akina KingwenduKumbe kuna wazaramo wazuri vile, aisee.
Yupo mzumbe pale upanga anasoma masterzNakumbuka filamu aliyocheza na Johari na Ray, yeye akiwa kama mke wa boss mmoja kwenye kampuni yao.
Alionekana kwenye wimbo wa zari la mentali wa Prof. J akijitambulisha kama Vicky.
Je huyu celebrity yupo wapi sasa? Kitambo haonekani kwenye sanaa.
Masters ya taaluma gani mkuu?Yupo mzumbe pale upanga anasoma masterz
Anasoma MBA..na anafanya kazi CRDB makao makuu pale mikochen karibu na nyumba za mawaziriHivi anasomea kozi gani sasa?
Mbona kuna wadau wamesema mikocheni hakuna makao makuu ya crdb?Anasoma MBA..na anafanya kazi CRDB makao makuu pale mikochen karibu na nyumba za mawaziri
Wageni mjini hao waulize vizuri..nenda mpaka mikocheni b chukua boda boda au bajaji mwambie nipeleke crdb makao atakupeleka..Mbona kuna wadau wamesema mikocheni hakuna makao makuu ya crdb?
Ngoja nikampe hi nargis huko crdb.Wageni mjini hao waulize vizuri..nenda mpaka mikocheni b chukua boda boda au bajaji mwambie nipeleke crdb makao atakupeleka..
!Na we pia ni mkurupukaji,CRDB makao makuu ni mikocheni ?
naam ofisi nyingi zipo kule, wanakuita kwa mikocheni kwa mawaziri.... unaingilia warioba, na makazi ya baadhi ya watumishi yapo pale.CRDB wana tawi Mikocheni?
makao makuu ya crdb imehamia huko?
Anaitwa NyamayaoAsante kwa kuweka kumbukumbu sawa, ni yellow banana mkuu. Hivi yule aliye-act kama mdogo wake ambaye alikuwa safari moja na ray ni nani?
Mnanikumbusha mbali sana na huyu mtoto.
Or between kipanyaBefore Kipanya or after kipanya?