Eh bwana uhu mmaka asina tuku aha Tanzania( kinyarwanda hicho)Moja ya maproducers fundi kabisa kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava.Alitengeneza hit song nyingi sana kipindi yupo G Records na baadae G 2.Katika wasanii ambao aliwasaidia sana ni Ali Saleh Kiba.
Baadhi ya hit song alizotengeneza ni kama Nainai-Ommy Dimpoz,Nakshi Mrembo-AliKiba,Wajua(Unanihanda)-Queen Darleen n.k
Kwa miaka ya karibuni amekua hasikiki tena kwenye gemu.Je yupo wapi kwa sasa....!!?
Ni hai yokikala siku ijiEh bwana uhu mmaka asina tuku aha Tanzania( kinyarwanda hicho)
mmaka ni hayi adoma nakumbukire msiniseme ya alikibaEh bwana uhu mmaka asina tuku aha Tanzania( kinyarwanda hicho)
nimekua nikijaribu kujua walipo wakali kama mika mwamba,kgt,Lamar na wengine wengi wanye mchango mkubwa ktk flava ya bongo ila cjui wapo wapi adi sasajamaa alikuwa hapati credits anazo stahili kiasi kwamba ni watu wachache wanaojua kuwa alitengeneza nai nai, mawazo, ngoma zote za album ya kwanza ya alikiba.
Yeye na Manecky ni product ya Marehemu Roy
Kilugha changuEh bwana uhu mmaka asina tuku aha Tanzania( kinyarwanda hicho)
KwavoNi hai yokikala siku iji
Uko marekani Ari aseeKilugha changu
Amware hayi