Yupo wapi producer KGT

Yupo wapi producer KGT

masare

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
1,791
Reaction score
1,830
Moja ya maproducers fundi kabisa kuwahi kutokea kwenye Bongo Flava.Alitengeneza hit song nyingi sana kipindi yupo G Records na baadae G 2.Katika wasanii ambao aliwasaidia sana ni Ali Saleh Kiba.
Baadhi ya hit song alizotengeneza ni kama Nainai-Ommy Dimpoz,Nakshi Mrembo-AliKiba,Wajua(Unanihanda)-Queen Darleen n.k
Kwa miaka ya karibuni amekua hasikiki tena kwenye gemu.Je yupo wapi kwa sasa....!!?
 
Eh bwana uhu mmaka asina tuku aha Tanzania( kinyarwanda hicho)
 
jamaa alikuwa hapati credits anazo stahili kiasi kwamba ni watu wachache wanaojua kuwa alitengeneza nai nai, mawazo, ngoma zote za album ya kwanza ya alikiba.
Yeye na Manecky ni product ya Marehemu Roy
 
nimekua nikijaribu kujua walipo wakali kama mika mwamba,kgt,Lamar na wengine wengi wanye mchango mkubwa ktk flava ya bongo ila cjui wapo wapi adi sasa
 
Yupo Zanzibar, alikua ameachana na mziki bt now ana wasanii wake
 
Back
Top Bottom