Yupo wapi Professor Silas Lwakabamba Mtanzania Mwanzilishi wa Kigali Institute-KIST

Yupo wapi Professor Silas Lwakabamba Mtanzania Mwanzilishi wa Kigali Institute-KIST

Nafikiri unamuongelea Bisanda aliyekuwa Wizara ya kilimo ambaye amefariki mwaka juzi, au ni yule mdogo mtu maana wte ni maprof hawa. Ila hii nchi inatakiwa ifanyiwe review

Prof. Bisanda alisharudi. Kwa sasa ni Deputy Vice Chancellor(Academic) Open University of Tanzania, ila mkewe bado yupo KIST-Rwanda.
 
nimenukuu kutoka kwa Mw Nyerere sasa kama una suali nenda kamuulize yeye, nilichoandika mimi ni kusema hakuna elimu kwahiyo ndio tunaona sasa viongozi wetu wanakwenda na vision ya kutokuwa na elimu sijui kama tunakokwenda ndiko au tumekosea njia
Sijakuelewa kabisa ukisema kuwa hakuna sehemu iliyoandikwa Elimu?? Una maana gani wewe ulivyosema hapa juu au ndio unajifunza kuandika??
 
nadhani hapo mmengalia kwa jicho la karibu, lakini ukifika nchi kama Botswana na Namibia ndio kweli utaamini Tanzania kuna wasomi ambao wanatupwa tu, hizo nchi Watanzania wamezishika katika sector za Udaktari (MD), lecturerz na katika mambo ya Civil eng, na wengi wanauchungu sana wa kurudi nyumbani kuja kufanya kama wanayoyafanya huko lakini wanaiogopa sana siasa ya Tanzania, hizo nchi Kauli ya msomi ni kwanza na kisha za wanasiasa, lakini huku kwetu wanasiasa kwanza kisha wasomi baadae
tunahitaji second liberation

Hii ndio Tanzania , ya wasiofikiria kwa mapana na marefu ya kesho na kizazi kijacho...
 
Akae hapa ili aishie ukuu wa mkoa au mjumbe wa bodi ya Tanesco? Ha hiyo ni nafasi ya upendeleo! Mi naona aende sehemu ambayo atafanya anayoweza kufanya kwa ufanisi mkubwa.Arudi sisi tutakapomaliza siasa zetu na porojo zisizo na vitendo
Watu kama hawa tunatamani waje kumsaidia mama yetu. Kuliko yale mazombi yenye sakafu ya uzalendo kumbe yanajijenga yaje yachukue nafasi muhimu
 
Back
Top Bottom