Kapiga dili lake la karibuni tu kwa kumuuzia Diamond haki za wimbo wa Salome wa Saida Karoli........ Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa '' Bible quotation''Naimani wale wa kale watakuwa wanamjua huyu promota na meneja maarufu miaka ile ya 2000 mwanzoni aliyemleta Saida karoli akabambaa Afrika nzimaa chini ya studio yake ya fm studio
Producer Akiwa Mikka mwamba
Sasaivi yupo wapi? Maana mziki unalipa yeye haonekani? Mwambieni aje wadau aongeze changamoto
Enzi zile alijitahidi kuwamanage. Saida karoli mambo jambo na wengne
Ni undercover promoter.......Sasahivi kazi ya upromota hafanyi tena?
Mara ya mwisho nilisikia karudi aliko ibuliwa na FM kwenye kuburudisha wapiga masanga vilabuni, sasa sidhani kama hata ana information ya kinachoendelea huku duniani.......Na yule dada mwenyewe kaambulia?
Mahitaji ya soko kwa sasa ni ngumu kuziuza hizo bidhaa sokoni, Media zetu zimeamua kuwa na ubunifu mdogo sana, atleast E fm wameweza kuupromote mziki wa singeli hadi sasa unaanza kuwa tishio kwa ubongo wa flavour......Mwambie arud bana atuletee mwika mwamba tena atuletee Saida karoli,maua na wegne saiv hata muziki wa band umekufa aje ashirikiane na Asha baraka kuurudisha
Mahitaji ya soko kwa sasa ni ngumu kuziuza hizo bidhaa sokoni, Media zetu zimeamua kuwa na ubunifu mdogo sana, atleast E fm wameweza kuupromote mziki wa singeli hadi sasa unaanza kuwa tishio kwa ubongo wa flavour......
Sasa Kwan ndogo hyo mkuuKama kapata kingi labda milion kumi tu
haukuwepo mjini wakati ule Saida akilalama kuwa amedhulumiwa na huyo mzee?!Kupitia vyanzo vipi Hebu Nasisi tujue
Maandiko yanasema wanaangamizwa, sio wanaangamia!...Kapiga dili lake la karibuni tu kwa kumuuzia Diamond haki za wimbo wa Salome wa Saida Karoli........ Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa '' Bible quotation''
Nani kakwambia Mutta ni choka?Kamuibia sana 2proud mpaka sasa yeye ni choka huku Sugu yuko mjengoni.