Yupo wapi promota maarufu Felician Muta (FM)?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Naimani wale wa kale watakuwa wanamjua huyu promota na meneja maarufu miaka ile ya 2000 mwanzoni aliyemleta Saida karoli akabambaa Afrika nzimaa chini ya studio yake ya fm studio
Producer Akiwa Mikka mwamba
Sasaivi yupo wapi? Maana mziki unalipa yeye haonekani? Mwambieni aje wadau aongeze changamoto

Enzi zile alijitahidi kuwamanage. Saida karoli mambo jambo na wengne
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Kapiga dili lake la karibuni tu kwa kumuuzia Diamond haki za wimbo wa Salome wa Saida Karoli........ Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa '' Bible quotation''
 
Sasahivi kazi ya upromota hafanyi tena?
 
Na yule dada mwenyewe kaambulia?
Mara ya mwisho nilisikia karudi aliko ibuliwa na FM kwenye kuburudisha wapiga masanga vilabuni, sasa sidhani kama hata ana information ya kinachoendelea huku duniani.......
 
Ni undercover promoter.......
Mwambie arud bana atuletee mwika mwamba tena atuletee Saida karoli,maua na wegne saiv hata muziki wa band umekufa aje ashirikiane na Asha baraka kuurudisha
 
Mahitaji ya soko kwa sasa ni ngumu kuziuza hizo bidhaa sokoni, Media zetu zimeamua kuwa na ubunifu mdogo sana, atleast E fm wameweza kuupromote mziki wa singeli hadi sasa unaanza kuwa tishio kwa ubongo wa flavour......
 
  • Thanks
Reactions: MC7
yaan kapiga deal lake la mwisho la uzeen kama amelicheza vzur bas atapata kapension kazur
 
Arudi tu maana washabiki hufuata bidhaa iliyopo hatujalishi
Mahitaji ya soko kwa sasa ni ngumu kuziuza hizo bidhaa sokoni, Media zetu zimeamua kuwa na ubunifu mdogo sana, atleast E fm wameweza kuupromote mziki wa singeli hadi sasa unaanza kuwa tishio kwa ubongo wa flavour......
 
Huyo mzee bado anatafuna mamilioni aliyomuibia Saida Karoli kwenye makaratasi
 
Diamond tokea atoe salome,kawaibua muta na saida mafichoni
 
Huyu jamaa naskia alimsainisha mkataba wa ulaghai Saida, kama alivo fanya Karl Peters kwa chief Mangungo, yaani naskia ni "bogus treaty" kabsaa
Saida kaja kustuka mambo yalisha haribika, Saida kwenye kazi zake kwa sasa hata sh. Kumi hapati.
*Sijui Saida alileta mapenzi kwenye kazi. Sijui ligha ilikuwa haipandi!!! Kwa kweli inauma
 
Back
Top Bottom