Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

Yuko wapi Tatu Malogo? Mara ya mwisho alionekana akiwa kavaa jezi ya Makolo na mechi aliyopangiwa kuichezesha akaondolewa kimyakimya.
Nakazia hapa! 📌🔨

Atuoneshe kwanza alipo Tatu Malogo na mwenzake Ahmada Simba.
 
Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko.
Yupo wapi?
Ameramba asali kwa kupewa kazi ya kuwa Msaidizi wa Rais wa Marais wa Vilabu vya Soka Afrika huko Morocco!
 
Comment za utopolo zinanivunja mbavu...
Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau..
Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie
Ile derby kayoko aliwabeba sana makolo,hamza straight red ilimuhusu alikua mtu wa mwisho akimvuta dube ,camara alisababisha penalty alimkanyaga musonda,dk ya kwanza tu akawapa offside,diarra akaonyesha umahiri wake,ile day kayoko alikua upande wenu makolo
 

Attachments

  • privaldinho_20241021_reel_3483626017370192945_1_3483626017370192945.mp4
    3 MB
Waliobebwa wanajulikana utopwox.....angefanya maamuzi vzr toka mwanzo hayo yasingefanyika
Sema kichwa yake imejaa utopolo mwingi...
 
Comment za utopolo zinanivunja mbavu...
Kayoko mshenzi yule sitakaa nimsahau..
Amebakiza macho tuu kwa sasa..tutayavuta tuyatoe nje yaning'inie
Hahahahha Daah! Watu makatiri sana kama M23
 
Crown FM wanaiba content zetu, leo wanajadili Saves za Spider na Issue ya Marefu ambazo tulijadili jana
 
Nadhani aliwahi Kuchezesha Mchezo wa Mwisho wa Fountain Gate.

AMEPIGWA BAN MBAYA YA KUIDHURUMU SIMBA PENALT TATU ZA WAZI.

KIBU ALIANGUSWA MNO KWENYE BOX.
 
Toka achezeshe mechi ile amekuwa tajiri anaishi maisha ya kifahari kabisa sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…