Yupo wapi rubii

Yupo wapi rubii

Mimi namtafuta rafiki yangu Tatty,amepotelea wapi jamani?....and what happened in those days?......mwenye kujua alipo please help me!!
1473879176102.png
1473879182595.png
1473879190005.png
 
Mbona wanaume hawakumbukwagi? by the way kwa nini ni rubi? unampenda? ebu tuanzie hapo kwanza
 
Mbona wanaume hawakumbukwagi? by the way kwa nini ni rubi? unampenda? ebu tuanzie hapo kwanza
wapo wengi tu huwa wanakumbukwa mfano kuna mtu alianzisha uzi akiuliza yupo wapi lizaboni
 
Back
Top Bottom