Yupo wapi siku hizi?

Swebe ni mtangazaji wa Efm
Nyamayo yupo china anafanya kazi ya kutafsiri
Hawa jamaa wote wamenenepa sana
 
Flora ndo yuko DW ya ujerumani au UNITED NATIONS..sasa kwanini asiporomoshe mjumba
Flora nducha atakua zake mbele kama kawaida...sema juzi nmepita kwao naona kampolomoshea mzee wake bonge la jumba
 
.[emoji23][emoji23][emoji23] Bishanga bashaija mutamukaruko tintin nain tarent
1.Bishanga,Waridi na Aisha wa mambo hayo
2.Sekioni David
3.Nyamayao na kibakuli
4.Jimmy plus wa misukosuko
5.Idd ligongo
6.Arnod Kayanda
7.Sauda Simba Kilumanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…