Yupo wapi siku hizi?

Yupo wapi siku hizi?

-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Benja wa mambo jambo na nyimbo yake ya kitobero kaimba na saida karoli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Dataz...na mume wa mtu
 
-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Mabaga fresh tunaatabika tunadhulumika mabaga fresh tumepigika aaah maskin kufa na kuzikwa
 
-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Vumi utanikumbuka kwa mema niliyokutendea . ...
 
-Alicom
-Mishi
-Ali Mbongo
-Angie
-Baucha
-BDP(Big Dog Posse)
-Benja Wa Mambo Jambo
-Blacc
-Caz T & Sarah
-Bon Cruz
-B Town Clan
-Bob Rudala
-Buibui
-Bwana Misosi
-YP & Y Dash
-Chelea Man
-Chiku Keto
-Chibwa
-D Knob
-Mez B
-Daz Nundaz
-Danny Msimamo
-Squeezer & Dataz
-Dk Leader
-Sir-leh
-Mabaga Fresh
-Mad Max
-Mac Dizzo
-Makamua & Q Jay
-Manzese Crew
-Jita Man
-O Ten
-OCG
-Noorah
-P1 Black
-E Smile
-I Two Kachaa
-Lil Gray
-Jacky Marie
-Bonta
-LWP
-M 2 The P
-Easy I
-Jose Mtambo
-Joslin
-Sister P
-Estaam
-Fatma wa Dibaji
-Luteni Karama
-Hafsa
-Soggy Doggy
-Solo Thang
-Zay B
-Gosby
-Ras Lion
-Renee Lamira
-Salu T
-Hongera
-Hard Mad
-Imam Abass
-Pasha
-Sonell
-Spack
-Zadao
-Steve RnB
-Stoppa Rhymes
-Planet 2000
-Simple X & Black Rhyno
-Rado
-Suma G
-TMK Majita
-Vumi
-Wandago
-Waswahili
-Yaki
Hafsa wa

"Eti napigwa ninawachulia ..

Mpenzi wangu mimi kweli nakupenda..wajua ndo mana watesa

Labda ni dada zangu eeee....Mbona mabusu tele..mambo ya kizungu
 
Habari wakuu.

Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi maalumu wa kufahamu walipo baadhi ya watu wetu waliowahi kujulikana sana enzi hizo.

Leo naanza kwa kutaka kujua wapo wapi watu hawa?

1) Flora Nducha wa Radio One
2) Enika wa baridi kama hii
3) Peter Manyika- Kipa wa Yanga
4) Snare wa East Coast Team
5) KR jibaba wa Wanaume TMK
6)Sinta wa Juma Nature
7) Suma Lee na CPWAA
8) Angel Damas aliwahi kua Miss Tanzania
9) K.sal Mwana Mkiwa
10) Edger Maokola Majongo
11) Masood Sura Mbaya
12) Yule mtunzi wa Jumba la Dhahabu
13) Kibakuli na Swebe wa Kaole
14) Tina na Mjuba wa Mambo hayo



List imeongezeka
Wapo wapi hawa?

1) Sekion David
2)Nyamayao
3)Bab lee wa Kizizi
4)Jimmy Plus wa Misukosuko
5)Tabia wa Kidedea
6) Paulin Zongo
7) Mama Terry wa Ushauri Nasaha
8) MB Dogg na Marlaw
9) Sajna na CSir Madini wa Tetemesha
10) Bery Black na Bery White wa Znz

Tujuzane tu

Na kama kuna mtu aliwahi kukufurahisha enzi hizo mtaje hapa jungu kuu halikosi ukoko tujue wapo wapi na wanafanya nini.

Ahsanten.
Kuna wale wana wa Daz Nundaz, Skaut Jenta,Lalumba,Critic na Sajo sijui wamepotelea wapi ila Sajo alikua anapiga kisomo enzi zile Udsm nahis atakua muajiriwa wa public sekta now
 
1.Bishanga,Waridi na Aisha wa mambo hayo
2.Sekioni David
3.Nyamayao na kibakuli
4.Jimmy plus wa misukosuko
5.Idd ligongo
6.Arnod Kayanda
7.Sauda Simba Kilumanga
Seki yupo mjini hapa jamaa harakati nyingi sana pia anamiliki kampuni fulani mjini, orijino comedy bado wapo kama kundi na yeye still ni msimamizi wao

Mara ya mwisho kuonekana kwenye macho ya jamii ilikua kwenye msiba wa yule mdogo wake alikua mtangazaji wa Efm, pia kwenye harusi ya Joti alikua kama best man
 
Hakuna tatizo.ni kijijini kidogo.kwa wakina sisi shega tu kuishi,kusaka pesa.ila kwa jina lake,bata zake alizowahi fanya ndo utofauti ulipo
Kweli mkuu, mbona wengine tunalisongesha hivyo tunalima mbogamboga life lonasonga ila wenzetu ambao walikuwa na fame inakuwa kama karudi miles nyingi nyuma ila ndio maisha ups and downs lazima ziwepo.
 
KR mula kajificha huko temeke kwa azizi(mwembe kiuno)choka mbaya zimebaki nywele tu
Alivyochukuliwa na T.I.D kwamba akamsimamie kazi za music Juma Nature alimpigia sana kelele kwamba ataenda kupotea na ndicho kilichotokea ni uteja tu
 
Nlimuona insta hivi karibuni anadai katelekezwa na mtoto aliezaa na mtunis wa bongo movie, amekua na muonekano mbaya Pauline sijui ndio maisha
Aisee hata Mimi nilimshangaa sikuamini Kama ndie yeye maisha haya mhhh.
 
Marlaw anafaid msambwanda wa besta uko

Mb dog yupoo na mara ya mwisho alikua kwa meneja QS Mhonda..

Mbona Hamuuliz Sajna Wa Ivetha
Kina C.sir Madini
Ibra De Hustler
Kali P
Solid Ground Family
Dullayo
Top C
Baada ya kujito pale MJ records nahisi ndio ilikua mwanzo wa anguko la msanii Dullayo, jamaa anaishi Ukonga (Majumba sita).

Maeneo yale kule karibu na kituo cha police Sitakishari kuna eneo linaitwa "ki-water kwamzungu" ndio mara nyingi anaonekana pale akila bata zake
 
Anaishi Sinza kwa remy ndio kwao, huyu alimrudia Mungu wake akawa swala tano lakini lakini mpaka mara ya mwisho namuona nilipata wasi wasi kama bado ni mcha Mungu.

Lakini mimi ni binadamu tu sina kipimo chakutambua uchaMungu wa mtu ila namuombea Mungu azidi kumsimamia katika imani yake
Kwnn ulipatwa na wasiwasi mkuu??
 
Back
Top Bottom