Kuimba na kufanya muziki ni vitu viwili tofauti sana. Kuimba mtu yeyote anaweza kuimba, hata mimi nikiwa bafuni huwa naimba even if out of tune. Lakini kufanya muziki unatakiwa uwe na kipaji, nidhamu, strong technique na ujitume sana kani ni kufanya mazoezi kila siku.
Pia jambo kubwa kuliko yote ukubali jinsi gani hadhira inavyopokea kazi yako, kwani kwenye sanaa always you are going to suffer:- cattle calls, the hummiliation and the rejections.
Otherwise bora usukume daladala tu maisha yanaendelea.