Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama tittle inavyojieleza hapo,huyu jamaa(Spack) alikuwa mkali sana kwenye bongo fleva,naona amepotea ghafula sana.. anayejua yuko wapi,anafanya nin na kwanin aliamua kuacha mziki atujuze.,
kuna ngoma yake naikubali hadi kesho inaitwa "ombi langu" jamaa sijui kapotelea wapi au upepo wa kitorondo umemvuruga hajui aje na style gani mwe!
Ukimkimbia babu tale and co. Hesabu umekufa...
Wapi janjaro
Kuimba na kufanya muziki ni vitu viwili tofauti sana. Kuimba mtu yeyote anaweza kuimba, hata mimi nikiwa bafuni huwa naimba even if out of tune. Lakini kufanya muziki unatakiwa uwe na kipaji, nidhamu, strong technique na ujitume sana kani ni kufanya mazoezi kila siku.
Pia jambo kubwa kuliko yote ukubali jinsi gani hadhira inavyopokea kazi yako, kwani kwenye sanaa always you are going to suffer:- cattle calls, the hummiliation and the rejections.
Otherwise bora usukume daladala tu maisha yanaendelea.