Yupo wapi Spack aliyeimba 'Nipe Ripoti'

Yupo wapi Spack aliyeimba 'Nipe Ripoti'

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
kama tittle inavyojieleza hapo,huyu jamaa(Spack) alikuwa mkali sana kwenye bongo fleva,naona amepotea ghafula sana.. anayejua yuko wapi,anafanya nin na kwanin aliamua kuacha mziki atujuze.,
 
kama tittle inavyojieleza hapo,huyu jamaa(Spack) alikuwa mkali sana kwenye bongo fleva,naona amepotea ghafula sana.. anayejua yuko wapi,anafanya nin na kwanin aliamua kuacha mziki atujuze.,

Alikua mkali sana? Labda alikua mkali kwako
 
Yupo mbona... Yahaya ndo hajulikani anaishi wapi na anafanya nini...
 
kuna ngoma yake naikubali hadi kesho inaitwa "ombi langu" jamaa sijui kapotelea wapi au upepo wa kitorondo umemvuruga hajui aje na style gani mwe!
 
Ukimkimbia babu tale and co. Hesabu umekufa...

Wapi janjaro

kuna ngoma yake naikubali hadi kesho inaitwa "ombi langu" jamaa sijui kapotelea wapi au upepo wa kitorondo umemvuruga hajui aje na style gani mwe!
 
Mziki Mgumu kuchomoka mbele ya OSATA ni kazi sana lazima uwalambe miguu.
 
sasa kama mtu unatoa vitu vikari kari alafu havikulipi utakavyo y ukazane kukoma kweny mzik una acha nakufanya mambo mengine yatayo kusogeza pazuri ki maisha sio tu kazi unapiga mziki watu wa faidike kwa furaha we ubaki kapa ayo yalikua yakina kidude na ngurumo. wapumzike kwa amanii.
 
mziki wa bongo una stress acheni tu!..ukiwa una roho ndogo lazma game ikushinde!.....wengi wanaokamaa wanafanya music for fame
 
Kuimba na kufanya muziki ni vitu viwili tofauti sana. Kuimba mtu yeyote anaweza kuimba, hata mimi nikiwa bafuni huwa naimba even if out of tune. Lakini kufanya muziki unatakiwa uwe na kipaji, nidhamu, strong technique na ujitume sana kani ni kufanya mazoezi kila siku.
Pia jambo kubwa kuliko yote ukubali jinsi gani hadhira inavyopokea kazi yako, kwani kwenye sanaa always you are going to suffer:- cattle calls, the hummiliation and the rejections.
Otherwise bora usukume daladala tu maisha yanaendelea.
 
Mkuu umeongea mambo ya maana sana,sijui ni leo tu au kawaida yako.!!.. bt umetisha of coz, hicho ndicho kinachowafanya wasanii wengi kuja na single then kupotea., unamkumbuka Chelea man? usiniacheee....,, naomba unipende km nilivyo mi msela,...siku hz kmyaaaa....,hii hali inatisha aicseeeeh.
 
Kaka bongo fleva wengi vipaji hawana, hata wangekuwa navyo, don't think talent is enough to get you through, if you don't work hard you are out. Na kwa sisi wabongo tatizo la kujibweteka sio kwenye muziki tu, ni kwenye nyanja zote, na hii ndo inatufanya tujiite hatujaendelea, kumbe uvivu tu.
 
Daah alikuwa na sura ya upole flani hivi. "Laiti ungejua nakupenda"
 
alafu jamaa nyimbo zake nyingi ni za kulia lia sana.. na generation hii kama hatachange style yake ya uimbaji basi R.I.P
 
jaman huyu jamaa ni rafiki angu sana but Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2012 alikua kwa mama Ake MWANZA maeneo ya kilimahewa kuna sehemu inaitwa kwa msuka mpaka sasa yupo rock city kama huamin nikutumieni pic zake pindi hicho cha mwz
 
Back
Top Bottom