Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza.
Sijamsikia tangu juzi bungeni angalau angejitokeza hata kutoa salam za rambirambi kwenye account yake. Yupo wapi hivi sasa schoolmate wangu Ilboru enzi hizo?
Alikuwa akiongea maneno magumu sana na alikuwa mstari wa mbele kuishauri Serikali ifiche takwimu za maambukizi na vifo vya korona. Mwigulu aliwaona wanashauri vinginevyo hawafai kabisa katika taifa hili.
Yupo wapi hivi sasa ndugu yetu huyu?