Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Mdomo wake umejaa matusi.Ngoja tuyafukue humu tujikumbushe.Mwigulu ni wa kupuuzwa!!
Ameshapewa alichokuwa akitaka sasa anakula bata, ndio siasa za tz hizo.Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza...
Corona itamfichua aliko , sababu hiyo inapenya kila sehemu huwezi kujificha, mimi mwenyewe ilisha nishika siku 20 nilikuwa ndani chini ya caranteen muda mwingine ili bidi nifungue madirisha yote sababu niliona hewa haitoshi lakini sikwenda hospitalini wala kutumia dawa yoyote sababu ni mtu wa mazoezi muda wote na kufanya kazi nzito.Huyu ndugu alikua mstari wa mbele kila wakati kusifia kwa kiwango cha juu sana kua haijawahi kutokea dunia nzima tumetokomeza ugonjwa wa Corona na Viongozi wa mataifa waje kwetu kujifunza. Sijamsikia tangu juzi bungeni angalau angejitokeza hata kutoa salam za rambi rambi kwenye account yake. Yupo wapi hivi sasa school mate wangu Ilboru enzi hizo?
Alikua akiongea maneno magumu sana na alikua mstari wa mbele kuishauri serikali ifiche takwimu za maambukizi na vifo vya korona. Mwigulu aliwaona wanashauri vinginevyo hawafai kabisa katika taifa hili.
Yupo wapi hivi sasa ndugu yetu huyu?
Kale kabosi ka chungu cha afya kenye sura kama mdogo wake Edibily Lunyamila, bado kanapiga nyungu na mmewe aliyesoma sana nyaraka za wasomi pekee nchini?Malipo yao ni hapa hapa Tanzania tutayaona.