GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Kuna wapigaji wengi.
2. Kuna wanafiki wengi.
3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi.
4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji.
5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza.
6. Ushirikina na kurogana sana.
7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa mamilioni na wababe wenzako mapacha wa Kariakoo.
Tatizo siyo makocha tena, Azam FC huwa mnapata makocha wazuri hata kuliko wenzako mapacha wa Kariakoo ila hamjajua tu na wenye akili akina GENTAMYCINE huwa tunashangaa na kusikitika sana, pale tukiona kila mara mnafukuza/mnafurusha makocha wakuu wenu mkiwaacha kikosini wale wanafiki wengi na wapika majungu waendelee kuwaharibia timu yenu nzuri na yenye kila kitu.
Hamjachelewa kufanya maamuzi!