Yusuf Manji; kielelezo cha “malaika waliogeuzwa shetani”

Mwandishi nafahamu ulifaudika na mgogoro wa Manji na Mengi.Hebu tufafanuliwe japo kiduchu
 
Luqman Maloto, mwandishi bora kabisa.
Huwa ananifurahisha zaidi akiandika chochote kumhusu Magufuli.
 
Luqman Maloto, mwandishi bora kabisa.
Huwa ananifurahisha zaidi akiandika chochote kumhusu Magufuli.
Kuna andiko lake kuhusu familia iliyonyang'anywa kiwanda cha kuprint na baadae mmoja wa wamiliki kufariki bila kupata haki yake.

Luqman anajua aisee. Mpaka anajua tena.
 
Kuna andiko lake kuhusu familia iliyonyang'anywa kiwanda cha kuprint na baadae mmoja wa wamiliki kufariki bila kupata haki yake.

Luqman anajua aisee. Mpaka anajua tena.
Nililisoma Mkuu, mimi makala za Maloto labda zinipite bahati mbaya tu ila nikianza kusoma sentesi 2 tu za mwanzo najua ni yeye kaandika na hapo siwezi kuacha kuimalizia.

Tunahitaji makala nyingi kutoka kwake hasa kuhusiana na utawala ule dhalimu, yuko well informed na ana details za kutosha.
 
Luqman, makala zake zimejaa ubunifu Bora wa uandishi, zinapatikana wapi?
 
Luqman bado ni mwandishi Mwananchi Communications?
 
Luqman, makala zake zimejaa ubunifu Bora wa uandishi, zinapatikana wapi?
Kuna wakati alikuwa anaandika kwenye gazeti la Mwananchi sijajua kwa sasa kama bado yupo au laa.
 
Salute mwamba,mwandishi pekee mwenye viwango nchini
 
Ila haya maisha. Jamaa nasikia alifanya booonge ya pati baada ya kusikia jiwe amevuta. Unaambiwa jamaa alifurahi utafikiri alihakikishiwa na Allah kwamba atakuwa Hafi ng'oo
Kumbe ulisikia tu ?....
 
Uchawa kwa matajiri unasabisha uchoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…