Yusuf Manji; kielelezo cha “malaika waliogeuzwa shetani”

Pongezi kwa luqman. Sema hii stori imenifanya nitafakari jambo. MONEY VS POWER. Nguvu au nyenzo mbili zilizokinzana. Ni sawasawa na kile kisa cha jua na upepo kwenye vitabu vya darasa la tano. Au kisa cha maji na moto kwenye filamu ya THE LAST AIRBANDER.
 
Mwisho wote wapo kaburini kama kawa
 
Ila haya maisha. Jamaa nasikia alifanya booonge ya pati baada ya kusikia jiwe amevuta. Unaambiwa jamaa alifurahi utafikiri alihakikishiwa na Allah kwamba atakuwa Hafi ng'oo
Ukisikiliza speech ya mzee wa msoga inaleta impression kama "maji" alitaka kulipa kisasi maana mzee anasem "maji" alilalamika anaonewa hivo akataka kulipiza ila akaambiwa acha so ni wazi alifurahi jiwe kufa

All in all jiwe nae yuko kaburini moyo mweupe kabisa kwamba kashalipiza kisasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…