Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

Mkuu mnapopoana huku mitaani tu lakini hili la ''kushikiliwa'' ni geresha ya kumsafisha. Weka kumbukumbu hiki ninachokwambia: baada ya muda majibu yatatoka na serikali itasema imejiridhisha hana hatia. Manji siyo mjinga arudi kichwa kichwa tu bila kuhakikisha atakuwa salama kwani anajua ana madhambi kibao.
 
Ndio maaana sitaki kurudi Dar toka nimekoswa koswa na Bashite, nikirudi tuu unaweza kushangaa wanafukua makaburi🤸😂🐒
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakuna tatizo kabisa,na mimi nipo huku nilipo najiibia zangu chaki na kuchapa vibinti vyenu kama marupurupu
Usije kuchapa kwa ile fimbo ndogo kisa umesikia tamko la kuwa rudisha shule hata kama fimbo ndogo ikijibu
 
Kiukweli ma businessmen wasirudi hapa yawezekana ni kamchezo kwamba waje wakamate tuwahoji na wafunguliwe kesi......na kufungwa
hapa cha msingi tuwazalishe upya wafanya biashara, lakini kwa waliokimbia wakisikia hii inazuka wallah hawatataka kuja uku mmmmh late see and time will tell....
 
kama hayati alikuwa anawakandamiza mbona mahakama ya kisutu ilimuachia? tusiwe sababu za kitoto. Kama alikwepa VAT ina maana TANESCO walimlipa malipo ya kazi na VAT juu yeye akatokomea na VAT ambayo ni hela ya serikali. Tusubiri TAKUKURU watasemaje. Utawala wa kusimamia na kutii sheria ndio hujenga taifa. Tusiache kuwakama wezi mapapa eti kisa pesa zao, hatujajenga taifa. Kikubwa tusimuonee mtu.
 
Kama Tanesco walimlipa malipo yake yakiwa VAT inclusive uzembe ni wa Tanesco si wa alielipwa. Sawa na mwajiri amlipe mfanyakazi bila kukataa PAYE halafu umlaumu mfanyakazi. Hapo kosa litakuwa kama hakulipa VAT aliyoikata kwa aliowauzia bidhaa na au huduma zinazotozwa VAT
 
ila kipindi cha jiwe ilikuwa hata mtendaji wa kata akifanya jambo lolote watu watasema ameagizwa na jiwe,na watu humu mngeshangilia kwa kumpa majina yote mabaya huyo jiwe, leo kumbe Takukuru iko huru sasa...watanzania tuna mambo
 
Criminal case inashughulikiwa na PCCB na Police. CAG yeye anafanya ukaguzi wa Hesabu za Serikali and not criminal investigations. Umeambiwa amefanya tax invasion/fraud ambayo ni criminal case wewe unaleta mambo ya ukaguzi wa CAG kama hujui tulia wachangie wengine.
 
Hapo kuna Rushwa gani mpaka Takukuru waanze kumhoji manji ?hii itapelekea kuzuia uwekezaji tena kwani watakosa imani na Tanzania kwa kuona vyombo hujishughurisha na uchunguzi hata usio na Rushwa
Utawajua tu mafisadi kwa kutetea wizi wenzao yaani achwe tu hata kama amefisadi pesa za serikali eti kwa kuwa mwekezaji.
 
Matajiri wataanza kuogopa kurudi Tanzania hata uwekezaji itapungua zaidi
Sema wezi ndiyo wataogopa kurudi TZ. Wawekezaji waaminifu watakuja tu na ndiyo tunaowataka siyo hao wezi wenzako wasirudi kabisa wakija lockup itawahusu fullstop!!
 
Ndio maaana sitaki kurudi Dar toka nimekoswa koswa na Bashite, nikirudi tuu unaweza kushangaa wanafukua makaburi🤸😂🐒
Mkuu kumbe ulikuwa unauza madawa ya kulevya!!? 😀😁
 
VAT haikatwi na mlipaji bali mlipwaji hutakiwa kuwakilisha VAT kwa TRA kila baada ya mwezi usichanganye na withholding tax mkuu!!
 
Unauhakuka aligushi magufuli alimitishia sou motto.ilihali manji alinunua tigo kihalahi rejea kuuzwa kwa tigo baada ya kusikia manji anarudi.wanataka kumtoa manji balabalani asifungue kesi kudai Mali zake.
Huu ndiyo ukweli na hasa Bashite amechanganyikiwa baada ya kuwa alijimilikisha mali nyingi za Yusuph Manji kwa njia haramu za kishetani
 
Utawajua tu mafisadi kwa kutetea wizi wenzao yaani achwe tu hata kama amefisadi pesa za serikali eti kwa kuwa mwekezaji.
Wewe Mbona ni mnufaika wa ujenzi haramu wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge lakini bado haujahojiwa? Wanunuzi wa Ndege kifisadi wamehojiwa wapi lini? Ulikula trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara mmehojiwa lini?
 
Wewe Mbona ni mnufaika wa ujenzi haramu wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge lakini bado haujahojiwa? Wanunuzi wa Ndege kifisadi wamehojiwa wapi lini? Ulikula trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara mmehojiwa lini?
Hatuhojiwi kwa sababu hatujaiba pesa ya serikali ila wezi wote ukiwemo wewe lazima uhojiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…