Jinai haifi.Kipindi hiki cha awamu ya sita, kuhojiwa na TAKUKURU haitishi sana kama ktk awamu ya tano ambayo watendaji walioteuliwa na mwendazake hawakuwa huru na walikuwa ktk shinikizo la kukomoana na pia awamu ya tano haikusisitiza haki kutendeka.
Hivyo tufuatilie kwa ukaribu kuona kama haki itatendeka kufuatana na matamko ya awamu ya sita.
Huyu alihusika na umilikishwaji wa nyumba zilizokuwa za kiwanda cha urafiki pale Ubungo akazikarabati kidogo kisha akavuta mkopo mrefu kutoka NSSF Whether alilipa ila nakumbuka kuna kashfa ilizuka baada ya hapo ila sujui iliishagaje.