minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Zianze na ununuzi wa Ndege kwanza tujue kama wanatenda hakiTulia mamlaka zifanye kazi. Kama hana hatia ataachwa huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zianze na ununuzi wa Ndege kwanza tujue kama wanatenda hakiTulia mamlaka zifanye kazi. Kama hana hatia ataachwa huru.
I concur with you Mkuu!Hiyo Ni trick ya kumpokea.. ujasusi w mtulizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manji anapata watetezi toka chadema?
Aisee... Lakini haishangazi maana bavicha wanasubiri hela zirudi mtaani ili muwe mnaziokota na wakuzirudisha mnaamini ni hao kina Manji
Wewe Dada nilikumic sana! Karibu tena.Unajuaje kama kadhia yake tayari haikuwa TAKUKURU?
Umenena vyema, ila kulikuwa na haja ya kuweka neno "bichwa maji"?🙂We bichwa maji tulia, hujaona fail au kusikia mahojiano. Acha kufikiri kwa kutulia makamasi
😆😅😄😃😂😂😁😀😀Alichowasema mama kuhusu takukuru ndicho anachokifanya yeye!!!!
Tatizo lako unawaamini CCMAlichowasema mama kuhusu takukuru ndicho anachokifanya yeye!!!!
Hawa wapuuzi wamelishwa tango pori kwamba manji alitaka kuiba coco beach wakati yeye alitaka kuuziwa na halmashauri husika sasa kosa lake ni lipi? Kuhusu mikopo hakuna mfanyabiashara mkubwa ambaye hana mikopo! Kama alikopa bila kulipa taratibu za kibank zingechukua mkondo na si utaratibu wa bashite na jiwe waliouchukua kumnyang'anya mali zake na kujimiliksha wao.Ndungai alitafuna mabilioni india kifisadi alipoumbuliwa na CAG akamfanyia fitna atolewe kafara kienyeji kinyume cha Sheria
Kwahiyo hutaki ahojiwe kwasababu wengine hawajahojiwa? Huko Bavicha mnalishwa nini?? Kichwa chako kimejaa minyoo tu.Zianze na ununuzi wa Ndege kwanza tujue kama wanatenda haki
Meenyewe nimehisi kitu kama hicho na baadae ataonekana hata hatiaHiyo Ni trick ya kumpokea.. ujasusi w mtulizo
Ujinga mtupuTatizo nyie mnaweka sana uvyama ,mbona Askofu Mwamakula na Tundu Lissu walimetetea Ole Sabaya kwamba Takukuru wasimshikilie maana ni haki yake kupelekwa mahakamani ndani ya masaa 24 na si kumshikilia tu kwa siku hizo zote zaidi ya 7 bila kumpeleka mahamakani.
Mimi simtetei manji bali natetea haki yake kama mtanzania na kwa mujibu wa STK(Sheria/taratibu/Kanuni),hata wewe Nzi wa kijani ukionewa lazima tukutetea haijalishi wewe ni ccm.cuf au adc maana "MAENDEREO" hayana chama.
Tangu jiwe asepe mzunguko wa fedha umeongezeka mtaani,watu wanavyojenga na kununua viwanja wanaongeza circulation ya pesa! Nzi wa kijani mna akili ya kijinga sana ,nani alikwambia kwamba ipo siku watu watakuwa wanaokota pesa mitaani? Unajua manji alivyoondoka watu wangapi walikosa ajira? Wafanyabiashar wangapi wa mbaazi waliathirika? je effect ya mzunguko huo wa manji unaijua?
Karibu tena binti yangu JF, eti ni kweli upo Magogoni hapo siku hizi ndio maana upo kimya?Unajuaje kama kadhia yake tayari haikuwa TAKUKURU?
missing youUnajuaje kama kadhia yake tayari haikuwa TAKUKURU?
Ngoja uoneee kwanza ni mbongo kabisa ujuee ndio maana hata alikuwa diwani wa kijichi kwaiyo soon atakuwa ikulu kuzungumza na mama kuusu mstakabali wake mpya..kazi iendeleeeeeeNa kuombwa radhii.[emoji23][emoji23] duuh Kama itakuwa ivyo basi tutakuwa tumeonekana wadanganyika ni nyuki wa canteen
Umesikiliza ufitini wa kisiasa???Wahalifu wa ununuzi wa Ndege wamedakwa wapi? Waliotafuna trilion 1.5 wamedakwa wapi?
we mwehu nini kwahiyo kama amefanya rushwa ulitaka wamchekee na kumkaribisha kwa bashishi...utopolo bana hizo ni kesi zilizokuepoHuyu mama anaanza kunipa wasiwasi
Ni kama anacopy ujinga wa jiwe..
Alikemea takukuru walikuwa wanafanya kazi zisizowahusu lakini na yeye anawatumia kwa kazi zisizowahusu..yani anapita mlemle kwa jiwe..
Kazi za kiuchunguzi wa ubadhirifu wa fedha anatakiwa kwanza apewe CAG au timu ya uchunguzi.Ripoti ya CAG/timu ya uchunguzi ndiyo inayokabidhiwa kwa takukuru kama CAG/timu wakiona dalili za rushwa..
Hawa ccm vipi?!!!!
hahahha ukijamba kwenye maji inakuwaje?View attachment 1806523
Daah Manji kajamba kwenye Maji.
Acha kudemka wewe taahira!Tatizo nyie mnaweka sana uvyama ,mbona Askofu Mwamakula na Tundu Lissu walimetetea Ole Sabaya kwamba Takukuru wasimshikilie maana ni haki yake kupelekwa mahakamani ndani ya masaa 24 na si kumshikilia tu kwa siku hizo zote zaidi ya 7 bila kumpeleka mahamakani.
Mimi simtetei manji bali natetea haki yake kama mtanzania na kwa mujibu wa STK(Sheria/taratibu/Kanuni),hata wewe Nzi wa kijani ukionewa lazima tukutetea haijalishi wewe ni ccm.cuf au adc maana "MAENDEREO" hayana chama.
Tangu jiwe asepe mzunguko wa fedha umeongezeka mtaani,watu wanavyojenga na kununua viwanja wanaongeza circulation ya pesa! Nzi wa kijani mna akili ya kijinga sana ,nani alikwambia kwamba ipo siku watu watakuwa wanaokota pesa mitaani? Unajua manji alivyoondoka watu wangapi walikosa ajira? Wafanyabiashar wangapi wa mbaazi waliathirika? je effect ya mzunguko huo wa manji unaijua?
Unaweza kuweka ushahidi hapa kwamba alikuwa anaonewa?Wewe muonevu huwezi kujua kwa sababu ni mnufaika wa huo uonevu