ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Unataka wahalifu wasidakwe!!?Huyu mama anaanza kunipa wasiwasi
Ni kama anacopy ujinga wa jiwe..
Alikemea takukuru walikuwa wanafanya kazi zisizowahusu lakini na yeye anawatumia kwa kazi zisizowahusu..yani anapita mlemle kwa jiwe..
Kazi za kiuchunguzi wa ubadhirifu wa fedha anatakiwa kwanza apewe CAG au timu ya uchunguzi.Ripoti ya CAG/timu ya uchunguzi ndiyo inayokabidhiwa kwa takukuru kama CAG/timu wakiona dalili za rushwa..
Hawa ccm vipi?!!!!