BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kwa sababu ya Wapumbavu wanaukubali kuitwa wanyonge ndani ya nchi yao baada ya miaka 60 ya uhuru bila ya kujiuliza tunakuwaje wanyonge ndani ya nchi yetu kwa miaka 60 huku kundi la watu wachache wakiwa mamilionea na mabilionea katika kipindi kifupi tu?
Ndio madaraka kibongo bongo yalivyo!