Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu sema mama kafanya nini hapo?? Yaani Manji kuitw na TAKUKURU ni kipi kinakwambia mama ndio kaagiza aitwe??Huyu mama anaanza kunipa wasiwasi
Ni kama anacopy ujinga wa jiwe..
Alikemea takukuru walikuwa wanafanya kazi zisizowahusu lakini na yeye anawatumia kwa kazi zisizowahusu..yani anapita mlemle kwa jiwe..
Kazi za kiuchunguzi wa ubadhirifu wa fedha anatakiwa kwanza apewe CAG au timu ya uchunguzi.Ripoti ya CAG/timu ya uchunguzi ndiyo inayokabidhiwa kwa takukuru kama CAG/timu wakiona dalili za rushwa..
Hawa ccm vipi?!!!!
Amefanya nini??Alichowasema mama kuhusu takukuru ndicho anachokifanya yeye!!!!
Hawa ndugu zetu humu baadhi sijui vichwa vyao vikoje. Yaani sijui hawaoni hawa watu???Unawasemea wawekezaji ?!!!
Umeyafumba macho kuwaona kuwaona akina Dangote ,Mwanamfalme wa Dubai ,Mwanamfalme wa Saudia na wengineo wakitiririka kama mvua katika nchi hii ya amani ?!!
#KaziIendelee
Mkuu ushapiga rakaa zako??Komredi Faiza nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na pia kukutakia Kiyam ul Layl chema!!
Hapo kuna Rushwa gani mpaka Takukuru waanze kumhoji manji ?hii itapelekea kuzuia uwekezaji tena kwani watakosa imani na Tanzania kwa kuona vyombo hujishughurisha na uchunguzi hata usio na Rushwa
We bichwa maji tulia, hujaona fail au kusikia mahojiano. Acha kufikiri kwa kutulia makamasi
Kwa nini wasimkamate akiwa huko nje?Kama ana makando kando aachwe tu kwa kisingizio cha uwekezaji ? Basi TZ Itakuwa nchi ya ajabu.
Haswaaaa mkuu ....Mkuu ushapiga rakaa zako??
Alhamdulillah!
Mafulafula hao....Hawa ndugu zetu humu baadhi sijui vichwa vyao vikoje. Yaani sijui hawaoni hawa watu???
Expecting results from what you knowAlichowasema mama kuhusu takukuru ndicho anachokifanya yeye!!!!
Matajiri wataanza kuogopa kurudi Tanzania hata uwekezaji itapungua zaidi
Ujinga utakua nao weweHuyu mama anaanza kunipa wasiwasi
Ni kama anacopy ujinga wa jiwe..
Alikemea takukuru walikuwa wanafanya kazi zisizowahusu lakini na yeye anawatumia kwa kazi zisizowahusu..yani anapita mlemle kwa jiwe..
Kazi za kiuchunguzi wa ubadhirifu wa fedha anatakiwa kwanza apewe CAG au timu ya uchunguzi.Ripoti ya CAG/timu ya uchunguzi ndiyo inayokabidhiwa kwa takukuru kama CAG/timu wakiona dalili za rushwa..
Hawa ccm vipi?!!!!
Hapa nawaza kimoyo moyo jinsi ambavyo huyu Manji alijipanga kurudi anavyojisemea kimoyo moyo!
”Dah...kmmmk sijapiga hela mda mrefu sana toka yule kooma toka bush anletee ushubwada bora ata kadedi tu kmanyoko zake hhhhoouwh(anapiga muhayo)...Wacha nidondoke zangu Bongo bana nikafanye yangu sasa, mwanangu wa Msogani kashanipanga kwamba sahizi utawala tu haina kwelekweche so hapa mapema sana yani!”...”Wale waxenge wa TAKUKURU sahizi haina shanapa nawazimia Fegi za matako tu afungwi mtu wala nini yani utawala tu!”
Alichowasema mama kuhusu takukuru ndicho anachokifanya yeye!!!!
Ndio madaraka kibongo bongo yalivyo!CAG aliandika kwenye ripoti zake mbili kwamba fiscal year 2016/2017 1.5 trillions imepotea hazina na 2017/2018 1.2 trillion imepotea hazina na yule mzalendo FAKE AKA mwendazake akagomea uchunguzi huru na ikapita kimya kimya! Ununuzi wa ndege wa zaidi ya trillion 3 aligomea CAG asikague na kweli ununuzi huo haukaguliwa.