Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,716
- 9,051
Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa safarini pia. Mahakama hizi za Ardhi huwa zinauliza ulikuwa wapi kwa muda wote huo?
Uhalisia wa bei japo hii inajadilika kwasababu wapo watu hushusha bei ili kupunguza makato na tozo lakini marehemu na mkewe walinunua bei mara mbili ya wanayodaiwa kuuza miaka miwili baadae.
Ardhi wanakiri kusajili Caveat iliyowekwa na Alice, Mke wa marehemu.. kwanini walisajali kama nyumba haikuwa kwenye milki yao kwa mwaka mzima nyuma yake.
Upande wa pili, Mjane anakiri kufahamu wanadaiwa japo pia anaonesha kutokuwa na hakika. Je inawezekana waliuza na mke akaamua kucheza mchezo wa 'matrimonial property' kwamba hakuridhia.
Mke anasema dole gumba lililopo kwenye consent ya yeye kuuza hakuweka na anajua kusoma na kuandika hivyo angeweka signature. Ni marehemu mumewe alilichapisha akiwa usingizini au Yusuali ametengeneza?
Kulikuwa na Settlement nje ya mahakama? Ilikuwa inasemaje!