Yusufali anatapeli nyumba au 'mama Mjane' anang'ang'ania mali ambayo walishauza?

Yusufali anatapeli nyumba au 'mama Mjane' anang'ang'ania mali ambayo walishauza?

Yule mama hawezi kushinda hiyo kesi.
  1. Kosa lake kutia dole kwenye dili.
  2. Hati halali kumilikiwa na mnunuzi.
  3. Kufungua kesi nje ya muda.
Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaida

Huyo mama asilete ujuaji usiofaa
 
Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaida

Huyo mama asilete ujuaji usiofaa
Kweli kawaida.
Nimesema kosa nikimaanisha hataweza kuukataa saini yake.
Angecharaza saininya maandishi au mchoro angeweza kujitetea siyo yake imegushiwa.
Fingerprints insured non repudiation. Denying she did not participate in the disputed transactions is not plausible.
 
Kama aliviziwa akiwa amelala....dole gumba lake likawekwa na alliyekuwa mumewe...
 
Mnampampu huyo mama kwenda mahakamani, huko ndio anaenda kumalizwa.....
Na inaonekana kuna kitu anaficha, maelezo yake hayanyooki....
 
Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaida

Huyo mama asilete ujuaji usiofaa
Ameshakuambia ana uhakika dole like sio lake 100%. Halafu Kuna nyaraka za mahakaman marehemu ALIWAHI kufanya settlement na huyu mtu...mbona hamuulizi hizo? Marehemu alikopeshwa na alijua anakopeshwa na mafia, so inawezekana dole gumba sio la mkewe na ndo mana yule mke na mtoto confidently Wana uhakika dole sio lao...Allah anakaza riba, YusufuAlly hata ende mahakama Gani hashindi labda ahonge na ndo mana unaona anasema anataka wayamalize "amikabli"
 
Back
Top Bottom