Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaidaYule mama hawezi kushinda hiyo kesi.
- Kosa lake kutia dole kwenye dili.
- Hati halali kumilikiwa na mnunuzi.
- Kufungua kesi nje ya muda.
Kweli kawaida.Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaida
Huyo mama asilete ujuaji usiofaa
Kama aliviziwa akiwa amelala....dole gumba lake likawekwa na alliyekuwa mumewe...Kweli kawaida.
Nimesema kosa nikimaanisha hataweza kuukataa saini yake.
Angecharaza saininya maandishi au mchoro angeweza kujitetea siyo yake imegushiwa.
Fingerprints insured non repudiation. Denying she did not participate in the disputed transactions is not plausible.
Anatakiwa athibitishe hilo.Kama aliviziwa akiwa amelala....dole gumba lake likawekwa na alliyekuwa mumewe...
Ameshakuambia ana uhakika dole like sio lake 100%. Halafu Kuna nyaraka za mahakaman marehemu ALIWAHI kufanya settlement na huyu mtu...mbona hamuulizi hizo? Marehemu alikopeshwa na alijua anakopeshwa na mafia, so inawezekana dole gumba sio la mkewe na ndo mana yule mke na mtoto confidently Wana uhakika dole sio lao...Allah anakaza riba, YusufuAlly hata ende mahakama Gani hashindi labda ahonge na ndo mana unaona anasema anataka wayamalize "amikabli"Kutia dole kwenye nyaraka kama hzo mbona ni jambo la kawaida
Huyo mama asilete ujuaji usiofaa