kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Oya kwema wakuu?
Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?
Ni hayo tu niliyowaandalia kwa leo.