The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani aliwahi kuwa na ela lini?
Ukiona hivyo watu wameshagawana majengo ya serikali.Hapa zamani ulikuwa unamaliza na Cc nani sijui [emoji1787][emoji3]
Wachache sanaawe unamshangaa huyo ambae hajawah kuwa na hela kuna watu kibao wana amaisha safi na wanakula kwa mama ntilie , unajua asilimia kubwa ya sisi wabongo tumekulia kwenye maisha duni hivyo hata mtu akiwa na hela ipo siku anaamua kupita kula kule alikokua anakula kipindi anatafta maisha safi.
Wewe ni wa kike?Hivi huu uzi kuna wanaume?
Ni kweli anachokisema... Juzi tu nimekutana na mzee mmoja ni mmiliki wa hotel na biashara nyingi tu... Anakunywa chai jioni kwa mama ntilie, na na alivyo vaa huwezi zani kama ni yeyeSio kweli acheni kujifariji.
Aisee we ke au me?unatoka kijiji gani cha usukumani mkuu! Sio kwa ushambaa huu hata akina mayo wenzako hawapo hivyo! Shamba na tena buga weOya kwema wakuu?
Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?
Ni hayo tu niliyowaandalia kwa leo.View attachment 2385448
we unamshangaa huyo ambae hajawah kuwa na hela kuna watu kibao wana amaisha safi na wanakula kwa mama ntilie , unajua asilimia kubwa ya sisi wabongo tumekulia kwenye maisha duni hivyo hata mtu akiwa na hela ipo siku anaamua kupita kula kule alikokua anakula kipindi anatafta maisha safi.
Alienda kupiga story za jioni.Ni kweli anachokisema... Juzi tu nimekutana na mzee mmoja ni mmiliki wa hotel na biashara nyingi tu... Anakunywa chai jioni kwa mama ntilie, na na alivyo vaa huwezi zani kama ni yeye
Ukimaliza hili nakuomba njoo tena na Swali kwanini 99% ya wana JamiiForums ( ukiniondoa GENTAMYCINE ) wanajifanya wana Hela ( Matajiri ) wakati wengine tunawajua Kibinafsi kuwa wanalala Sebuleni katika Makochi yenye Matobo ya Panya kwa Mashemejj zao huku baadhi yao wakiwa ni Mashamba Boy tu?Oya kwema wakuu?
Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?
Ni hayo tu niliyowaandalia kwa leo.View attachment 2385448
Sidhani kama wapo shoga angu.Hivi huu uzi kuna wanaume?
Mi mwenyewe simjuiOya kwema wakuu?