Yusufu Mlela ni kafulia au ni nini mbaya?

Oya kwema wakuu?

Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?

Ni hayo tu niliyowaandalia kwa leo.View attachment 2385448
Mlela ajawai kua na hela.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Oya kwema wakuu?

Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?

Ni hayo tu niliyowaandalia kwa leo.View attachment 2385448
Hongera wewe mwenye hela

Ova
 
Jana katika pita pita zangu nikamfuma huyu jamaa bishoo kajibanza mahali anapiga chai kwa mama ntilie. Nikajiuliza zile show off za kutumia mamilioni kwa ajili ya kifungua kinywa tu pale Kempiski Hotel zimeishia wapi mpaka anajumuika na sisi wanyonge huku kwenye chai za buku buku?

Maisha ya Bongo movie ni kama maisha ya Insta, tiktok, JF (kwa baadhi ya watu) nk, wanaishi kufurahisha watu!
 
Mtu ambaye hali kwa mama ntilie
Humu atuambie humu
Binafsi mm kwa mama ntilie napigaga
Sana msosi

Ova
 
Hawa wasanii hasa wa bongo muvi wengi choka mbaya afu full kuigiza hadi maisha yao. Aseee kuna msanii siwez mtaja nimefika kufanya kazi maeneo yao kaja kwenye msiba aseee jamaa anagongea bia anagongea hadi dawa ya meno. Shower gel anapaka akajua ni losheni. Nyie nyie nyie
 
Back
Top Bottom