Yusufu Mlela ni kafulia au ni nini mbaya?

Sasa haya ni matumizi mabaya ya roho mbaya. Huyo Mlela hajawahi kuripotiwa popote pale kwamba ana hela. Na hata kama angekuwa nazo sijaona ajabu yeye kula hapo. Ingawa hapajui Magomeni Mapipa lakini mbona hata Bilionea Lemutuz huwa anaendaga Sweken Zero Star hotel kula msosi, You Know!!
 
Wachache sanaa
 
Sio kweli acheni kujifariji.
Ni kweli anachokisema... Juzi tu nimekutana na mzee mmoja ni mmiliki wa hotel na biashara nyingi tu... Anakunywa chai jioni kwa mama ntilie, na na alivyo vaa huwezi zani kama ni yeye
 
Aisee we ke au me?unatoka kijiji gani cha usukumani mkuu! Sio kwa ushambaa huu hata akina mayo wenzako hawapo hivyo! Shamba na tena buga we
 
Uongo! Jidanganye
 
Ni kweli anachokisema... Juzi tu nimekutana na mzee mmoja ni mmiliki wa hotel na biashara nyingi tu... Anakunywa chai jioni kwa mama ntilie, na na alivyo vaa huwezi zani kama ni yeye
Alienda kupiga story za jioni.
 
Ukimaliza hili nakuomba njoo tena na Swali kwanini 99% ya wana JamiiForums ( ukiniondoa GENTAMYCINE ) wanajifanya wana Hela ( Matajiri ) wakati wengine tunawajua Kibinafsi kuwa wanalala Sebuleni katika Makochi yenye Matobo ya Panya kwa Mashemejj zao huku baadhi yao wakiwa ni Mashamba Boy tu?
 
Tuache ufuatilia sana maisha ya watu wasio na impact yeyote kwenye maisha yetu
 
Mi mwenyewe simjui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…