Yusuph Kagoma kwenda Yanga

Yusuph Kagoma kwenda Yanga

Huyu Kagoma na semaji lake la CAF ni wa kunyoosha tu, dawa ya kiburi ni jeuri.
Yanga huwa tunajua kudeal na kina dizaini ya Kagoma.
 
Huyu Kagoma na semaji lake la CAF ni wa kunyoosha tu, dawa ya kiburi ni jeuri.
Yanga huwa tunajua kudeal na kina dizaini ya Kagoma.
Majini kama Yale ya mayele yatahusika au sio
 
X anagubuuu,mmemis mjegejee ninyi makoloo. Mligongwa kimoja hamkutosha mnawashwaa mpelekewe moto. Ngojaa Azam awalowanishe tukiingia wandewa tunatelezaaaa shwaaaaa 5
 
Yanga wanapenda kesi ila Picha inaanza mwanasheria wao hajawahi kushinda kesi yoyote, kwanzia kwa Morison hadi Feisal
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukimsikiliza msemaji wa SFG ...

Utaielewa kauli ya Manara kuhusu "wenye akili ni wawili tu"...
 
Hata Awesu vs KMC mwanzon ilionesha Kama KMC hawana haki lakin mwishowe ilionesha KMC wanna haki dhidi ya AWESU. TUVUTE SUBRA
 
Huyu Kagoma na semaji lake la CAF ni wa kunyoosha tu, dawa ya kiburi ni jeuri.
Yanga huwa tunajua kudeal na kina dizaini ya Kagoma.
Labda Kwa Dizaini ya majini!!?? Kama ni mahakamani mtapoteza muda kwani hamna mwanasheria nyie, mwanasheria hata HAJUI seller na buyer kwenye mkataba na hata aibu hamna mnaonyesha hayo makaratasi mbele ya kadamnasi!
 
Someni magazeti ya kesho ya michezo kuhusu Kagoma tarehe 13- 09-2924,yanga SC wana mkataba halali alisaini kuitumikia yanga SC kwa miaka 3
 
Back
Top Bottom