Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu ananibishia sana anasema jamaa yuko fiti kwenye hiyo lugha ya kiingereza ila hapendi kuitumia tu ... wanaomfahamu vyema mnisaidie maana inawezekana nikawa nabisha bila kufahamu.
Asanteni.
Mbowe anaongea English tangu nursery school, hahaaah Kilaza wewe bana. utamuona wapi wakati wewe unashinda pale kwa wauza kahawa SUWATA,sijawahi kumsikia mbowe akizungumza kiengereza. jee na hili
Haa haa haaa! Mwaka huu yataibuka mengi sana, na nyingine iko HAPANilimsikia akiwaomba wajumbe wa mkutano mkuu kura na kibwagizo "I Love you all" nadhani hiki ni kiinglish
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu ananibishia sana anasema jamaa yuko fiti kwenye hiyo lugha ya kiingereza ila hapendi kuitumia tu ... wanaomfahamu vyema mnisaidie maana inawezekana nikawa nabisha bila kufahamu.
Asanteni.
Makamba kielimu yuko duni, nasikia tetesi kuwa aliwahi kuwa mwalimu wa UPE, ambako sijui alihusishwa na tukio la ubakaji mtoto wa shule, kisha akadondokea Jeshi , ni darasa la saba fulani hivi, ni sawa na kina Lukuvi, na Tz kama hujaenda shule nafasi yakuongea kingereza ni ndogo, maana hakizungumzwi mtaani.
Hivi mmekosa cha kujadili?
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu ananibishia sana anasema jamaa yuko fiti kwenye hiyo lugha ya kiingereza ila hapendi kuitumia tu ... wanaomfahamu vyema mnisaidie maana inawezekana nikawa nabisha bila kufahamu.
Asanteni.
Kumbe ushamtoa kwenye ile listi yako?Sijawahi kuona mtoto wa Mfalme Malaria Sugu hata aandike neno moja la Kiingereza!