Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kupenda kuongea kiingereza ni kuendekeza ukoloni mambo leo, nenda france au germany halafu kajifanye unapenda kuongea kiiingereza ndio utaona kitakacho kutokea,ni vizuri kupenda lugha yetu adimu ya kiswahili so Makamba hana kosa ila anadumisha lugha.Hivyo hivyo Mgosi ongea hata kishambaa tutakuelea kwani wote sisi ni wabantu, kama ni mbwai mbwai halafu ekai mambeza kabisa inywi.
Kwa wale wanaotaka kujaribu, usijue kingereza halafu jaribu kutoka nje ya mipaka ya Tz, uone jinsi utakavyokuwa USELESS.
wakereketwa msinipige mawe ni mtazamo tu juu ya hili la kujua au kutokujua lugha fulani dhidi ya utendaji wa mtu...kwa maoni yangu,huyu mzee anaimudu kazi yake vizuri kwa kiswahili ndio maana anatumia sana.
Makamba..
1.alikuwa mwalim wa UPE shule ya msingi Lushoto....
2.AKatunga wimbo wa TANU ambao ulikuja kutumiwa sana kueneza propaganda za TANU>>>JKN alitaka kujua nani alieutunga wimbo ule....akatafutwa .........safari ikaanzia hapo...akapelekwa kivukoni.....then JEshini
3.Waliingia Depo moja na JK jeshini........Monduli kama makada wa chama...(atamfia JK na si TZ)
4.Ni mlezi na support mkubwa sana wa watoto wa Makamba.....kielemi na kila kitu...
5.Alipokuwa jeshini akawa kada wa chama...........
6.Akateuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya......
7.Mwinyi akaja kumpa ukuu wa Mkoa....MG baadae KG na Dar
8.JK akaja kumpa ukatibu wa chama.......
9.Ndipo hapoo alipo...hana shule zaidi ile ya UPE na seminari.....O level
Wabongo bana kwa kukumbatia 'bidhaa duni' hawajambo! eti kingereza ni ukoloni..get over ur silly selves.
Kingereza ndio lugha ya sayari hii. I would wish my leader, or any leader for that matter, to be ahead of me au awe above average Joes kwene kukimaster kiingilishi. Hiyo mifano ya Uchina sijui Ujerumani haiapply..sisi ni maskini and we have all to do kuwafikia. PERIOD.

Kwa mfano wako ina maana Watanzania wote wakiongea kiingereza basi umasikini wetu utakwisha? Vipi Malawi wengi wanaongea kiingereza mbona bado ni masikini? Tuache kasumba ambayo haitatusaidia kitu chochote. Tumuhukumu Makamba kwa uozo wake wa kutokuwa kiomgozi bora na kuwa wale wanaofuata upepo, sio kwa kuongea lugha ya wageni.
Imekuwa proved kwamba mtoto anayefundishwa kutumia lugha ya mama yake (mother tongue) huelewa zaidi anachofundishwa kuliko kutumia lugha ya kigeni. Ni sawa na Nyang'aus ingawa wanaongea kiingereza lakini hesabu zinawapiga chenga na wengi ni hoe hae zaidi kuliko Watanzania. Ukiangalia kwenye nyanja za kimataifa kuanzia UN na its associated agencies Watanzania wako wengi zaidi kuliko hao Wakenya ambao kila siku wanajisifia kuongea hiyo lugha.
Kiingereza ni lugha, jambo la muhimu ni kwamba kama unataka kufanya biashara na nchi ambazo wanaongea hiyo lugha ni vizuri zaidi kujifunza ili uweze kuwasiliana nao vizuri zaidi vinginevyo tafuta wakalimani. Huweze kupiga hatua ya maendeleo kwa kujua kiingereza peke yake as a language bado kuna mambo mengi zaidi ya hilo. Hata ukienda Uingereza kwenyewe asilimia kubwa ya raia wake hawaki-master kiingereza kuwashinda wasomi kutoka bongo kwenye lugha yao wenyewe, kwa hiyo basi tuwe tuna-balance wakati tunaongelea swala la lugha.
sijawahi kumsikia mbowe akizungumza kiengereza. jee na hili
Si muulizeni January?Tutasikia mengi huku! Ila kiukweli hata mm sijamsikia mgosi akilonga kiinglishi hata siku moja. Tuambieni anakimanya ama
Mie toka nimeanza kumjua Yusuph Makamba sijawahi kumsikia akiongea hata neno moja la Kiingereza ila
ni kwamba ni bingwa wa kukariri mistari ya biblia na ya kwenye misahafu..
sasa kuna mtu ananibishia sana anasema jamaa yuko fiti kwenye hiyo lugha ya kiingereza ila hapendi kuitumia tu ... wanaomfahamu vyema mnisaidie maana inawezekana nikawa nabisha bila kufahamu.
Asanteni.