Yusuph Makamba na Kiingereza

Mimi hii topic imenifurahisha sana, ninachojua nI KUWA MBOWE ANAJUA KIINGEREZA KIZURI SANA, NILIMSIKIA KWENYE
MJADALA SIKU MOJA KWENYE TELEVISION, KUHUSU MAKAMBA SIJUI,
 
Na siku hizi kupata sholarship hata huko uchinani na ujerumani ni mpaka ufanye TOEFIL na hiyo mitihani ya kiinglishi.Na bado tu tunang'ang'ania eti kiswahili kikuzwe zaidi.

Mweeeeeeeeeee!!!!! Hivi ndio nini hiyo?
 
baba wa watu ha-deserve huu udhalilishaji/ujinga...:mad2:
kiingereza sio ishu kabisaa.
wengi tunabuma buma tu kuhusu hio lugha :confused2:
Waambie hawa watu!!
Makamba ni SecGen wa CCM siyo UN hivyo kujua kiigereza siyo ishu kabisa bana! Kazi yake ni humu ndani kwa ndani self container lol! Akitoka atasindikizwa na wenyewe wenye kukimudu.
 
Waambie hawa watu!!
Makamba ni SecGen wa CCM siyo UN hivyo kujua kiigereza siyo ishu kabisa bana! Kazi yake ni humu ndani kwa ndani self container lol! Akitoka atasindikizwa na wenyewe wenye kukimudu.

Unasahau kwamba CCM inapokamata dola, huyu hawi tena wa humuhumu anatakiwa awe na muono wa kimataifa ili kufikia wengine walipo, kuendelea kusema wa humuhumu ni kutaka kusema hatakiwi kujifunza ya nje..huu ndio upujufu wenyewe..na ndio maana hatuendelei na hatutoendelea milele, vigezo vyetu ni legelege na vya chini na tunapenda kuangaliana sisi kwa sisi tu hatutaki kuweka standards za juu na za mbali. Tunataka tuongozwe na wauza chai, a common muuza kahawa, halafu eti tunashangaa ati kwanini hatuendelei ilhali tunaongozwa na wanataarabu na watunzi wa mipasho wasio na maono yeyote wala kiu ya kujua, wenye upevu kifikra.

Ingekuwa inaruhusiwa kubadili uraia kama vile kubadili majina JF ningeshahama zamani sana!

Pheeeeew!
 
Wewe unataka ku-conclude nini mara utakapojua kuwa anajua au la!? Tafuta namba yake ya simu ya mkononi halafu jifanye mwandishi wa habari halafu anza kuongea naye kwa kiingereza halafu utapata jibu sahihi pale pale! Halafu linganisha na majibu tutakayokupa sisi! Kwa kifupi lugha mfano Kiingereza si kigezo cha kuwa na uwezo mkubwa upstairs!
 
General secretary watanu ya nyerere walifahamu kienglish ,leo wasomi wa kumwaga katibu mkuu wa chama cha mafisadi hajui kimombo uuuuuuuuuuuiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!
 
Ajue au asijue Kiingereza tunachotaka ni kuona nchi inaendelea. Mataifa yote yaliyoenedelea siyo kwa sababu wasomi wao wamebobea kwenye English. Yeye ni Katibu Mkuu wa CCM siyo Waziri wa Foreign Affairs. Watuletee sera za kuimarisha uchumi. Rais anajua English na ana shahada ya uchumi vipi uchumui wetu?
 
Nguvumali, kumbe Yusuf Makamba baba yake na January na Mwamvita ni FATAKI ! Nafikiria nikamfungulie mashtaka chini ya Sexual Offences Special Provision Act (SOSPA).

Lakini nadhani DPP ataniwekea kauzibe maana huyu ni boss wao. Atakuja na gear ya "Nole Proseque"
 

unautamani ushoga?
 
Lete mada zenye akili wewe!!!kwa hiyo unataka ajue kingereza then nn?hao wanaojua hiyo lugha ndo mambumbu wa haja.
 

Matokeo yake tunasaini mikataba iliyoandikwa kwa kiingereza................baada ya hapo mnajutaaaaaaaaaaa kuwafahamu "wawekezaji"!!:eyeroll2:
 
Lete mada zenye akili wewe!!!kwa hiyo unataka ajue kingereza then nn?hao wanaojua hiyo lugha ndo mambumbu wa haja.

hivi mikataba na wawekezaji inaandikwa kiswahili?
 
Kama ilivyo ukweli kwamba midahalo haina tija, basi na kiingereza hakina tija.
 

Ndugu wanaJF na watanzania kwa ujumla, topic hii ni muhimu sana haswa kwa mazingira tuliyo nayo ya sasa ya dunia kuwa kijiji. Lugha inaweza kuwa KIKWAZO cha maendeleo au CHACHU ya maendeleo. Tukirejea katika historia hakuna hata nchi moja iliyoendelea duniani (Kutoka umasikini wa kupwa mpaka kuwa tajiri) kwa kujua kiingereza, mfano Japan. Wala kujua kiingereza siyo ishara ya kuwa UMESOMA!. Mfano rais wa Brazil alivyokuja bongo aliongea KIINGEREZA?, nadhani jibu ni hapana. Hivyo kwa Tanzania lugha imekuwa ni tatizo kubwa sana, na kwa hiyo kwetu sisi watanzania LUGHA ni kikwazo cha maendeleo, mfano, vijana wengi wanamaliza masomo katika nyanja tofauti tofauti kama vile sekondari au chuo bila kuwa na uelewa mzuri wa walichokisoma, sababu lugha aliyotumia kujifunza haielewi vizuri. Hivyo mtanzania kama huyo unategemea atakuwa na ushindani kwenye ajira? au ufanisi wa alichojifunza?. Wadau suala langu la msingi hapa ni kuwaeleza wadau kwenye mkeka huu wa hekima kuwa MTANZANIA YEYOTE KUTOKUFAHAMU KIINGEREZA siyo kipimo cha ufanisi au ufahamu, mfano, ukiwa china, kila mtu mchina utakaye kutana naye cha kwanza atakuongeresha kichina, au ukiwa kwenye vyuo vya afrika kusini mhadhiri wakati mwingine anafafanua kitu kwa kiaafrikana na anawaambia wanafunzi ambaye hawezi kiingereza ajibu tu kiaafrikana, lakini WATANZANIA tunazidi kutukuza tu lugha za wenzetu tunasahau kuwa watu wetu wanatoka watupu mashuleni!, ndiyo maana wanaingia na mikataba mibovu kwa sababu ya kuiga tamaduni za watu. Kiswahili ni lugha ya kimataifa wewe nenda GOOGLE.COM harafu nenda kwenye translate, yaani hapo unaweza ukatafasiri kichina kwenda kiswahili au kijapani kwenda kiswahili. La msingi tuelewe ni kuwa KUTOKUFAHAMU KIINGEREZA SI KUWA HUJASOMA AU WEWE NI MJINGA, SIVYO! Ila watu waeleweshwe kuwa wanatakiwa wafahamu lugha nyingine zaidi ya kiswahili ili kwa ajili ya kupanua uigo wa mawasiliano!
 
Msimbague mtu kwa lugha au kabila au rangi yake waungwana
Cha kujiuliza ni JEEEEE MWENZETU ANAZO AKILI KICHWANI?
 

Therefore, for that case, my fellow Tanzanians, if we pretend to downplay the significance of English in this era of globalization, then we must stop complaining that the Kenyans are taking our jobs because of their good command of the English language skills.
If speaking English is compared to neo-colonialism, then we need to stop watching EPL every weekend and concentrate watching our TBL premiership!
We need to stop wearing tie and suits and replace that with "magome ya miti clothing" that our ancestors did wear before the arrival of the Europeans.
We need to stop driving motor vehicles and instead we can start riding on "wheel barrows"!
You can not run away from the English language no matter what, if you do then others like Kenyans and Ugandans will take advantage of that!
I'm pretty certain that Hon. Makamba does have the ability to unleash his English language knowledge since he was educated during the old colonial days.
Vote CCM
Vote JK
Wake up my fellow Tanzanians!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…