UKAWA unaowaona wameshinda ubunge basi walikataa hongo ya kijani, wale ni wazalendo. Ninadhani umenielewa.Ukumbuke CUF kuna kizungumkuti, anaweza kugawa faranga kwa UKAWA, halafu ukashangaa ni meya wa jiji
Tatizo lako kijana unafikiri kwa kutumia ........... Usikurupuke kama mtu aliyefumwa akijisaidia shambani. CUF weshatangaza kujitoa nakura zao ni muhimu katika huo uchaguzi au hukusikia tangazo lao? Pole sana.Maoni Yako Na Uwezo Wako Wa Kufikiri Umegota Hapo Ktk Kukaririshwa, Tatizo Ambalo Umekua Nalo Since Primary School!! Kati Ya CCM Na CUF Ni CHAMA Kipi Kinachohubiri Kutimuana Na Kupelekea Mpasuko, Kati Wanaodhaniwa "Wasaliti "Na Wale "Wafia Chama " Wee Endelea Tu KUKARIRI!!
Ww Endelea KUKARIRISHWA Tu Na Propaganda Za Lumumba!! Alafu Usidhani Humu Kuna Vijana Pekee!! Mi Sio Kijana Kama Unadhani Ww!! Naelewa Vyema Ninachokisema!! Ww Endelea Tu KUKARIRI Matamko Ya Propaganda Na Huyo Muhindi Wako!! Jiji Hili This Time Ni Ngome Ya UKAWA!!Tatizo lako kijana unafikiri kwa kutumia ........... Usikurupuke kama mtu aliyefumwa akijisaidia shambani. CUF weshatangaza kujitoa nakura zao ni muhimu katika huo uchaguzi au hukusikia tangazo lao? Pole sana.
Labda kule porini kwenu Mbagala lkn sio huku mjini kwetu kwani lazima atuambie katokea wapi na uFISADI wake uwe wazi! Meya ni ukawa baba hapa sio kwa wahindi matapeli!Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia.
Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR. ATASHINDA PIA. HIVYO Mjue YUSUFU MANJI ni Meya Mpya wa Jiji la Dar Mwaka Huu.
Acha ubaguzi na wivu wa kijinga, hawa ni watanzania na wana haki kama mtanzania yeyote, kama ana sifa ya kugombania nafasi yeyote ana haki ya kugombania kama mwananchi yeyote, siyo umuhukumu kwa rangi, kabila, au dini yake.binafsi napinga sana huu utaratibu wa kuwaendekeza hao wahindi kwenye siasa eti kisa tu wana hela. hayo ya wabunge wa morogoro na sehemu zingine imetosha.
KIFO TU NDO TUNAFANANA NA HAWATAKIKWEPA KAMA WALIOCHANWA BAGAMOYO,,MADEREVA WOTE WALALE SALAMA,,WRONGLY PLACE AT THE WRONG TIME WITH WRONG PEOPLE...WAPATE FARAJA WAFIWA,,INILLAH INILLAHinawezekana si anafedha nini kitashindikana kwa mtu mwenye fedha nini kitashindikana ndani ya CCM?
Kwa ticket ya Chama gani ACT au Ccm maana naona UKAWA kwa mahesabu wako juu.Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia.
Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR. ATASHINDA PIA. HIVYO Mjue YUSUFU MANJI ni Meya Mpya wa Jiji la Dar Mwaka Huu.
binafsi napinga sana huu utaratibu wa kuwaendekeza hao wahindi kwenye siasa eti kisa tu wana hela. hayo ya wabunge wa morogoro na sehemu zingine imetosha.
MBONA AMIR JAMAL NA ALNOOR KASSAM WALIWAHI KUWA WAZIRI WANDAMIZI TU WAKATI KISHWAHILI CHAO AFADHALI YA MANJI? WACHA UBAGUZI USIO NA MAANA. DIWANI YOYOTE YULE NI MEYA MTARAJIWAMeya wa jiji hajuwi kiswahili?Labda jiji la mumbai india
Acha kujipendekeza kwa ajili ya njaa zako wewe nenda basi india ukagombee udiwani uone kama utapata kama hutaishia kukatwa shingo kama ndugu zetu wa kitanzania wanavyo uwawa hukoAcha ubaguzi na wivu wa kijinga, hawa ni watanzania na wana haki kama mtanzania yeyote, kama ana sifa ya kugombania nafasi yeyote ana haki ya kugombania kama mwananchi yeyote, siyo umuhukumu kwa rangi, kabila, au dini yake.
Post hii sikuiona wakati huo ila haiwezi kupita bila kuungwa mkono maana bado inaishi yaani iko hai. Ni kweli Watanzania wengi ni mbumbumbu na hawataki kujishughulisha kuelewa. Lakini hao hao ndio tunawaona humu maneno meeengi na too much know.Mkuu yes, kuwa meya wa jiji ni lazima kwanza uwe diwani, tena sio kuwa diwani ili mradi tuu ni diwani, lazima uwe diwani wa kuchaguliwa na sio viti maalum!. Masaburi ni diwani wa Kata ya Kivukoni, ambapo mtaa wa Magogoni ni moja ya mitaa yake!.
Kwa kukusaidia tuu, hata kuwa waziri ni lazima kuwa mbunge, ila kuwa Waziri Mkuu, ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka majimboni!.
Kiukweli sisi Watanzania ni ignorants mpaka basi, kuna vitu simple mtu alipaswa kuvijua, hatujui!, kuna maswali simple tuu unapata jibu uki google, lakini watu wanauliza!, sitashangaa mtu akiuliza humu eti Kikwete ni rais wa wapi vile?!.
Ndio maana watu wanashinda wana lia lia tuu, kulalamika na kunung'unika, kujiandikisha kupiga kura, hawajiandikishi na wakujiandikisha, hawapigi kura!.
Pasco
Hilo ndiyo tatizo la kuishi saana Tanzania bila kutoka ukaona ulimwengu, unataka kuniambia ikiwa India wanafanya makosa basi na sisi tuwafuate, sisi tunatakiwa tuende na wakati na tuige mifano ya nchi zilizoendelea ili tuendelee na kwenda na wakati, sio kutizama yanayofanywa na India nchi inayoendelea kama sisi, tutaganda hapa tulipo na watu wenye mawazo kama yako.Acha kujipendekeza kwa ajili ya njaa zako wewe nenda basi india ukagombee udiwani uone kama utapata kama hutaishia kukatwa shingo kama ndugu zetu wa kitanzania wanavyo uwawa huko
Utoto tu unakusumbua,obama asili yake unaijua?Labda Lile La Mumbai!! Ila La Dar Tanzania Hawezi, Hata Kama CCM Wangekuwa Na Majority Ya Kuweza Kumchagua!!
Huyo manji anauwezo gani zaidi ya kutuibia?Hilo ndiyo tatizo la kuishi saana Tanzania bila kutoka ukaona ulimwengu, unataka kuniambia ikiwa India wanafanya makosa basi na sisi tuwafuate, sisi tunatakiwa tuende na wakati na tuige mifano ya nchi zilizoendelea ili tuendelee na kwenda na wakati, sio kutizama yanayofanywa na India nchi inayoendelea kama sisi, tutaganda hapa tulipo na watu wenye mawazo kama yako.
Hivi sasa Uingereza katika mji wa London kuna nafasi kubwa ya mhindi Khan kushinda Umeya, wao hawatizami kingine zaidi ya uwezo wa mgombania na uraia wake na hizo ndiyo nchi za kuigwa mifano yao.