Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

Status
Not open for further replies.
Acha ubaguzi fala wewe, hao wabantu wenzetu wametufanyia nini mpaka leo? Bora hata huyu muhindi anaweza kuleta mabadiliko kuliko hao wajomba zetu wanao endekeza wizi.
 
I don't think this can happen under Magufuli ruling, napinga kwa herufi kubwa NOOOO
 
Mk
Mkuu yes, kuwa meya wa jiji ni lazima kwanza uwe diwani, tena sio kuwa diwani ili mradi tuu ni diwani, lazima uwe diwani wa kuchaguliwa na sio viti maalum!. Masaburi ni diwani wa Kata ya Kivukoni, ambapo mtaa wa Magogoni ni moja ya mitaa yake!.

Kwa kukusaidia tuu, hata kuwa waziri ni lazima kuwa mbunge, ila kuwa Waziri Mkuu, ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka majimboni!.

Kiukweli sisi Watanzania ni ignorants mpaka basi, kuna vitu simple mtu alipaswa kuvijua, hatujui!, kuna maswali simple tuu unapata jibu uki google, lakini watu wanauliza!, sitashangaa mtu akiuliza humu eti Kikwete ni rais wa wapi vile?!.

Ndio maana watu wanashinda wana lia lia tuu, kulalamika na kunung'unika, kujiandikisha kupiga kura, hawajiandikishi na wakujiandikisha, hawapigi kura!.

Pasco

Mkuu Pasco huyu Masaburi aligombea udiwani lini huko Kata ya Kivukoni? Maana alikuwa mgombea wa ubunge katika jimbo la Ubungo. Alikuwa anapambana na Kubenea
 
Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia.

Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR. ATASHINDA PIA. HIVYO Mjue YUSUFU MANJI ni Meya Mpya wa Jiji la Dar Mwaka Huu.
Kwani Manji yuko UKAWA?
 
Mk

Mkuu Pasco huyu Masaburi aligombea udiwani lini huko Kata ya Kivukoni? Maana alikuwa mgombea wa ubunge katika jimbo la Ubungo. Alikuwa anapambana na Kubenea

Angalia alitoa post lini ndio uhoji
 
Hata mimi nakubaliana na wewe! Kuliko hivyo Magufuli atasema wapeni UKAWA.
Kweli chief,si umeona kwenye taarifa ya habari ya leo ITV magufuli amesema CCM wakubali kushindwa kama wameshindwa
 
Hilo ndiyo tatizo la kuishi saana Tanzania bila kutoka ukaona ulimwengu, unataka kuniambia ikiwa India wanafanya makosa basi na sisi tuwafuate, sisi tunatakiwa tuende na wakati na tuige mifano ya nchi zilizoendelea ili tuendelee na kwenda na wakati, sio kutizama yanayofanywa na India nchi inayoendelea kama sisi, tutaganda hapa tulipo na watu wenye mawazo kama yako.
Hivi sasa Uingereza katika mji wa London kuna nafasi kubwa ya mhindi Khan kushinda Umeya, wao hawatizami kingine zaidi ya uwezo wa mgombania na uraia wake na hizo ndiyo nchi za kuigwa mifano yao.
Nenda India kagombee uone kama hutarudishwa kwenu the same day, jaribu kukifikirisha kichwa chako walau.
Mtajikomba kwa watu mpaka lini? Huyo manji anakujua?
Mnakera sana wakati mwingine.
Hao watu mnawaendekeza ndio wanaotorosha madini na meno ya tembo na dili zote haramu,
Hivi akili yako inakutuma kuwa this guy ana nia ya kuwatumikia watanzania?
Usiwe mvivu wa kufikiri..
 
Niliwaambia Manji anaitumia Yanga kisiasa ili aje agombee nafasi moja kubwa hapo baadaye. Wengi wananibishia.

Manji atakagombea Udiwani, atashinda. then atakuja kugombea UMEYA WA JIJI LA DAR. ATASHINDA PIA. HIVYO Mjue YUSUFU MANJI ni Meya Mpya wa Jiji la Dar Mwaka Huu.
Baadae aje awe Rais wa hii nchi.

Mpaka hapo Magu chali, February na Mtoto wa mfalme wanarudi kwa kasi ya ajabu
 
Mkuu yes, kuwa meya wa jiji ni lazima kwanza uwe diwani, tena sio kuwa diwani ili mradi tuu ni diwani, lazima uwe diwani wa kuchaguliwa na sio viti maalum!. Masaburi ni diwani wa Kata ya Kivukoni, ambapo mtaa wa Magogoni ni moja ya mitaa yake!.

Kwa kukusaidia tuu, hata kuwa waziri ni lazima kuwa mbunge, ila kuwa Waziri Mkuu, ni lazima uwe mbunge wa kuchaguliwa kutoka majimboni!.

Kiukweli sisi Watanzania ni ignorants mpaka basi, kuna vitu simple mtu alipaswa kuvijua, hatujui!, kuna maswali simple tuu unapata jibu uki google, lakini watu wanauliza!, sitashangaa mtu akiuliza humu eti Kikwete ni rais wa wapi vile?!.

Ndio maana watu wanashinda wana lia lia tuu, kulalamika na kunung'unika, kujiandikisha kupiga kura, hawajiandikishi na wakujiandikisha, hawapigi kura!.

Pasco
Ujui ata unachokiongea Masaburi alipigwa chini na Saed Kubenea katika kiti cha ubunge wa jimbo la Ubungo! Huo udiwani kagombea tena lini???
 
Mkitaka kuliharibu kabisa Jiji la Dar mpeni Manji Umeya. Manji hajawah kuwa na mapenz na Tanzania hata dk moja.sema amekuwa akiitumia kukinufaisha. Amejiandaa kuwa Mayor kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Na ametumia pesa nying kwa hilo msidhan yeye ni mjinga. Sasa wewe jidai ni CCM sana kias kwamba ukisikia tu mtu wa kutoka huko unadhan ni mtu wa maana kwa ajili ya mahaba yako. Mnakaribisha manyang'au mpaka vyumban mwenu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom