Tetesi: Yusuph Manji ndiye Meya wa Jiji la Dar ajaye

Status
Not open for further replies.
Acha ubaguzi fala wewe, hao wabantu wenzetu wametufanyia nini mpaka leo? Bora hata huyu muhindi anaweza kuleta mabadiliko kuliko hao wajomba zetu wanao endekeza wizi.
 
I don't think this can happen under Magufuli ruling, napinga kwa herufi kubwa NOOOO
 
Mk

Mkuu Pasco huyu Masaburi aligombea udiwani lini huko Kata ya Kivukoni? Maana alikuwa mgombea wa ubunge katika jimbo la Ubungo. Alikuwa anapambana na Kubenea
 
Kwani Manji yuko UKAWA?
 
Mk


Mkuu Pasco huyu Masaburi aligombea udiwani lini huko Kata ya Kivukoni? Maana alikuwa mgombea wa ubunge katika jimbo la Ubungo. Alikuwa anapambana na Kubenea

Angalia alitoa post lini ndio uhoji
 
Hata mimi nakubaliana na wewe! Kuliko hivyo Magufuli atasema wapeni UKAWA.
Kweli chief,si umeona kwenye taarifa ya habari ya leo ITV magufuli amesema CCM wakubali kushindwa kama wameshindwa
 
Nenda India kagombee uone kama hutarudishwa kwenu the same day, jaribu kukifikirisha kichwa chako walau.
Mtajikomba kwa watu mpaka lini? Huyo manji anakujua?
Mnakera sana wakati mwingine.
Hao watu mnawaendekeza ndio wanaotorosha madini na meno ya tembo na dili zote haramu,
Hivi akili yako inakutuma kuwa this guy ana nia ya kuwatumikia watanzania?
Usiwe mvivu wa kufikiri..
 
Baadae aje awe Rais wa hii nchi.

Mpaka hapo Magu chali, February na Mtoto wa mfalme wanarudi kwa kasi ya ajabu
 
Ujui ata unachokiongea Masaburi alipigwa chini na Saed Kubenea katika kiti cha ubunge wa jimbo la Ubungo! Huo udiwani kagombea tena lini???
 
Mkitaka kuliharibu kabisa Jiji la Dar mpeni Manji Umeya. Manji hajawah kuwa na mapenz na Tanzania hata dk moja.sema amekuwa akiitumia kukinufaisha. Amejiandaa kuwa Mayor kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Na ametumia pesa nying kwa hilo msidhan yeye ni mjinga. Sasa wewe jidai ni CCM sana kias kwamba ukisikia tu mtu wa kutoka huko unadhan ni mtu wa maana kwa ajili ya mahaba yako. Mnakaribisha manyang'au mpaka vyumban mwenu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…