Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

Sababu zilizompelekea kujiuzuru..
Unamsikiliaza huyu anaweweseka. Jana alituambia FIFA imetuma barua TFF kuwa Simba Koko ndio bingwa, leo kaja na Manji kujiuzulu...ni ule wakati wa mwezi mchanga umewadia. Si ajabu kesho ukasikia kaja na habari mpya 'Rage yupo Madrid ku seal deal ya kumleta Gareth Bale Msimbazi'

Uzuri wake, harushi mawe kwenye magari ya watu.
 
duuh nilijua uongo, hapa watani kazi mnayo sasa. baba kaachia ngazi hii budget ya vihela vya sport pesa mtaweza kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…