GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa habari za hivi punde zinasema kwamba Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amejiuzulu rasmi nafasi yake hiyo.
Nawasilisha.
Nawasilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsikiliaza huyu anaweweseka. Jana alituambia FIFA imetuma barua TFF kuwa Simba Koko ndio bingwa, leo kaja na Manji kujiuzulu...ni ule wakati wa mwezi mchanga umewadia. Si ajabu kesho ukasikia kaja na habari mpya 'Rage yupo Madrid ku seal deal ya kumleta Gareth Bale Msimbazi'Sababu zilizompelekea kujiuzuru..
Vyura?Ngoja nisubiri post ya Vyura fc kwanza
Yule ni shabiki wa matopeni kaka.Ha ha ha haaaa..hivi yule ni shabiki wa LIPULI FC?