GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Yanga ilikuwepo kabla ya Manji na itakuwepo baada ya Manji.
Leo ndiyo mnashoboka kuyasema haya baada ya kuona SportsPesa wamewapeni mzigo wa maana? Kweli sasa naamini kuwa hakuna Watu Wanafiki kama Watanzania.