Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

Manji anaibeba sana Yanga, kama kaondoka kweli basi tuanze kutegemea kuona yanayotokea kwa watani wetu yakitokea kwetu pia i.e ukata.

Ndiyo nakupenda Dada yangu kwani unajua mpira halafu ni Mtu wa mpira Kweli na hufanani na Guluguja Mwana Mtoka Pabaya ambaye Yeye Kazi yake humu JF ni kupinga tu kila kitu cha GENTAMYCINE lakini hapo hapo anasahau kuwa anavyopoenda Ligi / Bundesliga na Mimi ndiyo Kwanza anazidi kunipa Promo.
 
Sasa zile bilioni 13 anazodai itakuwaje si ataenda Mahakamani na vile Klabu ilivyo kuwa na ukata.
 
Ndiyo nakupenda Dada yangu kwani unajua mpira halafu ni Mtu wa mpira Kweli na hufanani na Guluguja Mwana Mtoka Pabaya ambaye Yeye Kazi yake humu JF ni kupinga tu kila kitu cha GENTAMYCINE lakini hapo hapo anasahau kuwa anavyopoenda Ligi / Bundesliga na Mimi ndiyo Kwanza anazidi kunipa Promo.
Ukapimwe wewe. Vipi, TFF wameshawasomea barua yenu iliyotoka Zurich?

Simba ni timu ya hovyo.
 
maji.PNG
Manji 1.PNG
Manji2.PNG

Chanzo: Mwanasport
 
Ajiuzulu na uanachama wa CCM, Chama kimekuwa chanzo cha matatizo kwa Manji.
Tena na udiwani awakabidhi tu CUF yeye ajikite tu kwenye starehe zake za mapauwdah
 
bora nikae pembeni
Niinusu roho yangu mie in music sound wana wa msondo
 
Daaaa..... aiseee Mkuu yusuph Manji umetuacha njia panda wana
Young Africans (YANGA). Asante sana kwa mchango wako uliotupatia.
 
Back
Top Bottom