Ni Kweli hata barua yake imetoka jana .
Confirmed manji kashajiuzuru uenyekitiBARUA ISIYOKUWA HATA NA MUHURI.....LOL
Mtegemea cha Mo hufa?.....Mtegemea cha Manji hufa?............
Mkuu, kama tutapata viongozi aina ya wale waliopo Matopeni, timu itayumba licha ya hela ya SportPesa. Watakuwa wanakula humo humo na sio kuisaidia club.Sports Pesa inatosha kabisa kuendesha timu kwa miaka mitano
Kwa habari za hivi punde zinasema kwamba Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amejiuzulu rasmi nafasi yake hiyo.
Nawasilisha.
Ha ha haaaaYule ni shabiki wa matopeni kaka.
Manji siyo muuzaji alikuwa mtumiaje, kuna tofauti hapo.1st to reply,,kama hela za Ngada zimepigwa Ban kwa nn aendelee kujiumiza
Kwani barua yake inasema yanga itashindwa kusonga mbele?Yanga ni timu ya wananchi,kuondoka kwake hakutaifanya Yanga ishindwe kusonga.
Daima mbele nyuma mwiko!