Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

Yusuph Mehbub Manji amejiuzulu rasmi Yanga

Sports Pesa inatosha kabisa kuendesha timu kwa miaka mitano
Mkuu, kama tutapata viongozi aina ya wale waliopo Matopeni, timu itayumba licha ya hela ya SportPesa. Watakuwa wanakula humo humo na sio kuisaidia club.
 
baadae na udiwani nao ataachia akina bashite, maisha yasonge, hivi yale magari yake walishamrudishia
 
reo.manji ametoa taarifa za kujiuzuru.uenye kiti
a4ba7754cd28efff6c4fc8a0c13d8579.jpg
dc50467426b17761a62a4fc53a9b72d4.jpg
6b86424e32acb7dddc0d1560c8401c27.jpg
 
Kajuwa hata akiwa mdhamini hakuna kinga kama zamani, bora asepe afanye yake tu...
 
Wana yanga msiwe na hofu!
Moja ya matakwa ya serikali kupitia BMT kwa yanga kukodishwa kwa manji ilikuwa manji auachie uenyekiti wa klabu kwanza ili mazungumzo na mchakato mzima wa ukodishwaji usonge mbele, naona dogo kaamua kuupiga chini uenyekiti ili kuukwamua mchakato, hivyo hakija haribika kitu!
 
Yanga ni timu ya wananchi,kuondoka kwake hakutaifanya Yanga ishindwe kusonga.

Daima mbele nyuma mwiko!
Kwani barua yake inasema yanga itashindwa kusonga mbele?
 
Back
Top Bottom