GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Yanga ilikuwepo kabla ya Manji na itakuwepo baada ya Manji.
Manji anaibeba sana Yanga, kama kaondoka kweli basi tuanze kutegemea kuona yanayotokea kwa watani wetu yakitokea kwetu pia i.e ukata.
Kabisa simpendiiii hadi atagundua tu!!Yote haya ameyasabisha Yule kijana Mwenye sufuri
Hahahaaaaaaa eti Guluguja! LolNdiyo nakupenda Dada yangu kwani unajua mpira halafu ni Mtu wa mpira Kweli na hufanani na Guluguja Mwana Mtoka Pabaya ambaye Yeye Kazi yake humu JF ni kupinga tu kila kitu cha GENTAMYCINE lakini hapo hapo anasahau kuwa anavyopoenda Ligi / Bundesliga na Mimi ndiyo Kwanza anazidi kunipa Promo.
Ukapimwe wewe. Vipi, TFF wameshawasomea barua yenu iliyotoka Zurich?Ndiyo nakupenda Dada yangu kwani unajua mpira halafu ni Mtu wa mpira Kweli na hufanani na Guluguja Mwana Mtoka Pabaya ambaye Yeye Kazi yake humu JF ni kupinga tu kila kitu cha GENTAMYCINE lakini hapo hapo anasahau kuwa anavyopoenda Ligi / Bundesliga na Mimi ndiyo Kwanza anazidi kunipa Promo.
Halafu wewe unafaa sana kuwa katibu mwenezi wa Yanga, maana unaipenda. Lakini hii barua yako katibu mbona haiko kwenye Headed Paper?Kwa habari za hivi punde zinasema kwamba Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Mehboob Manji amejiuzulu rasmi nafasi yake hiyo.
Nawasilisha.
Halafu wewe unafaa sana kuwa katibu mwenezi wa Yanga, maana unaipenda. Lakini hii barua yako katibu mbona haiko kwenye Headed Paper?
Hayo maneno ya mkosaji tu hizo ada za uanachama tu shida.Yanga ni timu ya wananchi,kuondoka kwake hakutaifanya Yanga ishindwe kusonga.
Daima mbele nyuma mwiko!
Kabila gani wewe?Kwa matatizo haliyo nayo ni jambo jema hakijiuzuru .