mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
Mezani FCHa ha ha haaaa..hivi yule ni shabiki wa LIPULI FC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mezani FCHa ha ha haaaa..hivi yule ni shabiki wa LIPULI FC?
Ninyi mna hela nyingine zaidi ya sportpesa? Mbumbumbu FC mna kazi sanaduuh nilijua uongo, hapa watani kazi mnayo sasa. baba kaachia ngazi hii budget ya vihela vya sport pesa mtaweza kweli.
sisi tulishazoea matatizo mkuu. miaka minne ya maumivu imetukomazaNinyi mna hela nyingine zaidi ya sportpesa? Mbumbumbu FC mna kazi sana
Mzee akilimali yupo,ataokoa jahaziManji anaibeba sana Yanga, kama kaondoka kweli basi tuanze kutegemea kuona yanayotokea kwa watani wetu yakitokea kwetu pia i.e ukata.
Kuna uwezekano makampuni ya Manji yameyumba sana kiuchumi tangu Magu ashike nchi... Mianya yake yote ya upigaji imeminywa sana kwa hiyo anapunguza gharama za maisha ikiwa ni pamoja na ufadhili wa Yanga. Mengine zaidi ya hapo itakuwa ni sababu za ziada...Ni kesi ndio 'imemchanginyi' au anahamia Mbao efusii.
mkuu hatumjui mtu huyu ha ha. yaaani kuna watu unatamani hata uwavue ushabiki.Ha ha ha haaaa..hivi yule ni shabiki wa LIPULI FC?
Hakuna mtu anayezoea matatizo,..... Manji amepisha wadhamini wakubwa ambao wanainyemelea Yanga,... Achilia mbali na hiyo sportpesa, kuna watu wazito wanakuja..... Kaa usubiri mkuu,.. Yanga haina waropokaji kama wale akina cheupe wa msimbazi,.. Kumbuka hata ninyi mmepandia mgongo wa Yanga kwenye sportpesa. Mikataba ya Simba na Yanga haifanani, sisi tuko juu zaidi yenu.sisi tulishazoea matatizo mkuu. miaka minne ya maumivu imetukomaza
Inga sio ishu tena,mwacheni tu.Duuu ......hapa sasa tusubiri kuona matatizo kama ya wanamatopeni FC pale jangwani............Ila Tanzania kuna vituko
hamtapata mtu kama Manji kamwe. subiri utaona tofautiHakuna mtu anayezoea matatizo,..... Manji amepisha wadhamini wakubwa ambao wanainyemelea Yanga,... Achilia mbali na hiyo sportpesa, kuna watu wazito wanakuja..... Kaa usubiri mkuu,.. Yanga haina waropokaji kama wale akina cheupe wa msimbazi,.. Kumbuka hata ninyi mmepandia mgongo wa Yanga kwenye sportpesa. Mikataba ya Simba na Yanga haifanani, sisi tuko juu zaidi yenu.
Ha ha ha ha ha ha ha ha umenichekesha sana mwendawazimu wewe!Kwaherini ya Kuonana Abbas Gulamali wa awamu ya Nne!
Yanga Ina bahari ya kudhaminiwa na Mateja!
Gulamali alifia England kwa Madawa ya Kulevya, Yusuph Manji kanusuriwa na Makonda asiangamie kwa Madawa.
Yanga bila ya Mihadarati inawezekana [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
( Kidding Watani msitoke Povu)!