Yusuph Mlela amtolea mitusi Ney wa mitego kisa Bongo movies kuandamana

Huyo mlela nae ni shoga tu,eti tunataka uwiano ana jua maana ya sokohuru au biashara huria,masenge hawa yanaendeshwa hivyo kila siku na Bashite
huyo neema angetumia lugha ya busala kufikisha ujumbe wake sidhani kama angeambulia matusi
 
Huyu jamaa hata kuandika hajui halafu anataka kupambana true boy daah cheki

Atujakataza =Hatujakataza
Kishelia = Kisheria
Ufikilivu* = Ufikirivu*
Tahiraa= Taahira
Serous = Serious

Lowassa baba chukua nchi 2020 uboreshe elimu,elimu,elimu.
 
Sio lazima unachokichukia wewe kila mtu akichukie
Hakuna sehem nilipolazimisha watu kupenda nnavyovipenda, mi nilichukizwa tu na ile sauti ilivyokua juu... Hata hivyo neno langu sio sheria
 
Hakuna cha round 3 nyie kutaneni mtaani chapaneni ngumi
Mtaani Mlela atapigwa Ney mtoto wa manzese kampani kubwa ila in the ring nampa Mlela nshawahi kumshuhudia Kinondoni kambini kwa Maugo anaziweza!
 

Kukaa kimya wakati mwingine ni busara japo wakati mwingine hatutakiwi kukaa kimya kulingana na mazingira. Ila kwa hili la Yusuph Mlela ameangukia pua anamwita Ney mtoto wa mtaani, mjinga na kumtukana matusi mengine ambayo hata kuyataja ni aibu, hii inaonesha yeye mwenyewe (Yusuph Mlela) hana akili maana hiyo siyo namna ya kumjibu mtu hata kama amepotosha uma.
 
Wafanye kazi waache visingizio, Mbona bongo flavour inafanya vizuri licha ya nyimbo nyingi za kigeni zinavyopigwa.
 
Ney wa Mitego analazimisha fani ya muziki.

Ana sifa za kijinga na USHAMBA juu.
 
Hawa bongo-mavi ni ma-bashite kheeeeee, sasa hapo ndio wamemchagua mlela ajibu kwa niaba yao???

Kiswahili cha ovyo, sijui amesoma MeMKWA huyu,??

Au aliishia darasa la pili la Mchana!??
 
Hawa nao watoe vyeti..sio kwa matusi hayo..kutoka kwa mtu ansyejihita professional....Mheshimiwa Magufuli embu tusaidie na hawa wasanii watoe vyeti ili tusiwe tunawalaumu bure....Inawezekana watanzania tuna hamu ya kuona mambo makubwa kutoka bongo movie ..kumbe wenyewe akili visoda....ndo zimefika mwisho wa kufikiri....Hivi hawa Bongo movie wengi wao wameingia kwenye filamu sababu vipaji halisi au ugumu wa maisha kitaa ns kukosa alternative???
 
Hivi Tanzania kuna ma actors naona hao ni vikundi vya mazingaombwe hawana hadhi ya kuitwa waigazaji umeshawai kuona wapi et mtu anaonja sumu kabla kumpa mkusudiwa
 
Bongo movie viumbe vya ajabu sana.wanapenda kubebwa bebwa tu.Movie zao kajamba nani.Wanaendekeza ubishoo na kijichubua tu.Lazima tununue za nje wao si wamejifanya wanasiasa waendeleee na siasa zao....Pia wasiletee maneno kwa shemeji zao bongo flava...Maana madem wengi wa bongo movie wanamilikiwa na Bongo fleva na madensa wao.Kanumba kafa na Bongo movie yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…