Yusuph Mwenda: Kati ya watanzania Milioni 62, wanaolipa kodi ni Milioni 2 tu

Duuh... nimeyahesabu hapo yapo magari kama 61... jameni yote hayo yanamsimdikiza mtu mmoja? Na kwanini yawe mengi hivyo?
 
Aliyemteua analipa kodi?
 
Nilifikiri sensa iliyofanyika ingewasaidia sana hawa watu wapenda kutoa takwimu.
Lakini kumbe haina faida kwao!
 
kwa hiyo tozo sio kodi? Kodi ya nyumba kwenye luku sio kodi? Au anataka warudishe kodi ya kichwa? Wao wenyewe wameweka mazingira magumu ya kufanya biashara afu wanasema walipa kodi ni wachache? Wajaribu kufanya biashara afu waone kama watalipa kodi zote kawa wanavyotaka sisi tufanye.
 
Milioni mbili 2 wanachangia kati y watu 60m azina yetu ni ndogo kwavyovyote vile tunatumia uruma kenya wanetudhidi mambo mengi. Lkn izo izo ndio zinajenga hospital ndogo na kubwa barabara maji mishaara ya watumishi na tunashukulu tupo na aman yetu.lkn kuna mawakala wawazungu wanataka kuvuruga amani ktk ali km hiii kiongozi w upinzani anetegenewa agombee uraisi sisi wanachi tumpigie kula akalinde malinzetu azina yetu uyo uyo anajua Ali yetu na lkn anajisifia kutaka kuchota pesa za wananchi kupitia mahakama bila aibu anasema wasipolipa nakamata ndegezao. Sisi wananchi tumemkosea nini tumeizunishwa na kilichomtokea tumalaani kola mtu kwa namna yake. Uhai ni tunu au dhawadi kutoka kwa mungu ivyo kuchukua uhai w mwenzio aikubaliki na anaewaza kutoa uhai wa mwengine uyu ni zaifu na maskini sana sababu vip binadam mwenzio mshindane adhalani lkn uhamue kimyakimya kutoa uhai wake. Yani akifa mshindani wako kweli ww ndio utapata amani au ushindi wa jambo lalate.apana huo ni uzaifu shindananae umshinde na akuone ww unapeta ataumia mwisho atakufa mwenyewe kwa msonga w mawazo au vidonda vyatumbo. So atukupenda lkn sasa kwamasikitiko mtu uyu anataka watanzania wote tuwajibike kwatukio lile mana pesa badala zielekezwe kusaidia kuajili madaktari wakaudumie wajawazito walalahoi kuajili walimu kujenga shule izo pesa niende kumlipa mtu mmoja tena anasema kabisa itakuwa maela mengi sana. Nisingeandika andikoili kama yeye anadai anawajua wabaya wake basi awashtaki wao wamlipe mipesa ata wananchi watamsapot lkn pesa za walalahoi nashukulu mzee mbowe akuwepo ktk kile kikao cha waandishi mbowe mungu akulinde unaonekana kuna mambo mengine ukubaliani nayo lkn uwezi kumzuia mtu mzima. Lkn kutokuwepo kwako wwngine wenyeakili tumekuelewa barikiwa mzee mbowe.
 
Poleni watakaosoma sinaga kuariri natuma tu muwe wapole mkione mtukane basi nibakisheni viungo vyangu vya uzazi.
 
JE mna wazingatia katika maamuzi ya kitaifa..? Tuseme serikali imefeli kuwawezesha watu wake ili walipe kodi wote maana
 
Hata hivyo mil2 ni
Hata hivyo hao mil.2 ni wengi kwa sababu munawaonea wale ambalo hawatoi rushwa.
 
Wabunge, mawaziri na waandamizi wote hawalipi Kodi yoyote, kumanyoko na bongonyoso!
 
Pesa zenyewe tunazolipa kama kodi ndio zinazotumika kututeka na kutuua kwa kisingizio sio wazalendo. CCM wanaiba pesa wana fadhiri makundi yanafanya ugaidi ili kuua na kuteka wengine alafu unataka tulipe kodi.
 
Pesa zenyewe tunazolipa kama kodi ndio zinazotumika kututeka na kutuua kwa kisingizio sio wazalendo. CCM wanaiba pesa wana fadhiri makundi yanafanya ugaidi ili kuua na kuteka wengine alafu unataka tulipe kodi.
Wawanyooshe tuu kama mnavuruga Nchi ulitaka wawakenulie meno?
 
Watanzania hamtaki kulipa Kodi ila mnadai maendeleo sijui mnayegemea yatatokea wapi.

Serikali ikikopa mnasema inakopa sana.

Serikali ikiwabana watu Walipe Kodi mnasema inawaonea , yaani hii Nchi Kila kitu lawama
Je viongozi wanakatwa kodi? Wajeshi wanalipa kodi katika maduka yao? Asasi za kidini wanalipa? Tuanzie hapo kwanza kabla ya kuwakaba wananchi
 

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1842198741995974662?t=QbPn2cysgRp84K8Ou3D7gw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…