Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Nadhani hizo ni Kama zile mpya za Dar Express,noma sana aisee.Afu kuna scania mpya hizo za kampuni ya musoma express ni shida yan zinafanya kazi musoma to kahama via shinyanga ni shida hizo ase
wewe unaangalia body tuu,yutong nyingi zimefungwa injini za scania ,gearbox na diffsasa mbona matajiri hao hao wa mascania mbona wanaoleta yutong saizi. Sawa scania inadumu lkn ili upate faida inabidi ukae nayo miaka 6 wkt yutong miaka 2 tu imeleta faida. Kumbuka biashara ni faida
Zitakua hizo hizi za huku hazina option yakufungua vioo yaan vpo fixed humo ndan ni ac tupu.[emoji23]Nadhani hizo ni Kama zile mpya za Dar Express,noma sana aisee.
Inategemea yutong ikifa wanapachika injini ya scaniaHv happy nation n scania au yutong?
Mkuu Dar Mwanza au Dar Kahama kwa mbio zinatisha Kisbo na Cityboy ambazo ni scania. Wakuu, scania ni namba nyingine ikishachanganya hakuna basi inayogusa. Uliza kuna happynation zilikuwa scania za mbeya hakuna basi ilikuwa inagusa. Scania busses zipo vzuri sana kwa mbio na uimara. Udhaifu pekee wa scania busses zilizokuwa zinakuja tz zilikuwa hazina AC. Ila hapa juzi kati nilipanda scania bus yenye ac ilikuwa matata sana.Daaah kwa speed yutong ni mwisho mfano safari ya Dar-Mwanza,,,,mi huwa napoa sana maeneo ya natta,karibia kila siku zile yutong za super sammi ndo zinaongoza,,,kuna majamaa huwa wanasema hiyo gari ni zaidi ya dushelele,,,,,,,
Engine za yutong zinatolewa wapi?Marcopollo ni watengenezaji wa
body za mabasi. Iwe tata,
scania au Benz, wao kazi yao
ni kujenga body tu. Yutong vs
Scania? Scania wins
FrancisMengi ata yutong ni watengenezaji wa body injin si zao
Unazungumzia Mghamba ipi, Sauti ya kamanda, pata kitu cha Arusha, au Misisipi? zile mashine ni Scania OG.mi atakaye niambia bus za mgamba barabara ya arusha-mwz kama ni yutong au scania ndo ntajua kati ya hzo yupi ni mkali
HujakoseaMarcopolo ni moja ya brand ya scania kama sikosei.
Wananunua toka Cummings kampuni ya Kimarekani.Engine za yutong zinatolewa wapi?
Kammings sio marekani tu hata scania anatengenza hizo Benz nae mpaka Volvo wanazo hizo kammings na hizo za wachina wanatengeza wenyeweWananunua toka Cummings kampuni ya Kimarekani.
Kuna ile Basi Scania ya Dar-Simiyu iliyopata ajali ikaua Abiria 48 ilikuwa inaitwa Simiyu Coach a.k.a Ndama Jeuri ile ilikuwa ni noma na ilikuwa inawakalisha magari yote ya hiyo njia ya Dar Shinyanga Mwanza. Ilikuwa inatoka Simiyu asubuhi inafika Dodoma mida ya saa6 mchana,na ilikuwa ikifika pale shughuli zote za stand zinasimama wapiga debe,wafanyabiashara na madereva wanaanza kuishangilia kwa kelele na miluzi.Mkuu Dar Mwanza au Dar Kahama kwa mbio zinatisha Kisbo na Cityboy ambazo ni scania. Wakuu, scania ni namba nyingine ikishachanganya hakuna basi inayogusa. Uliza kuna happynation zilikuwa scania za mbeya hakuna basi ilikuwa inagusa. Scania busses zipo vzuri sana.
Mchina engines za Yutong atengenezi mwenyewe anatoa cummings tawi la Uingereza.Kammings sio marekani tu hata scania anatengenza hizo Benz nae mpaka Volvo wanazo hizo kammings na hizo za wachina wanatengeza wenyewe
Wewe sio mwanamke.. hakuna mwanamke anaweza kuwa kwenye mjadala kama huusio company moja aina tofauti.......?.....mnanichanganya mjue.........
Ilasi kwa Scania ya Majinjah Dar-Sumbawanga inasubiri sana tena sana.Hvi nyie mnaijua scania inaitwa ilasi?
Wewe sio mwanamke.. hakuna mwanamke anaweza kuwa kwenye mjadala kama huu
dar iringa ipo.Mwambie azipeleke safari ndefu uone
Nyie ni wataalamu wa bongo movie pamoja na team zake,sijui team Wema mara team Zari,teh teh tehSasa hizi dharau.......mnatuonaje lakini......?
Nyie ni wataalamu wa bongo movie pamoja na team zake,sijui team Wema mara team Zari,teh teh teh