keizerjohn
Senior Member
- May 12, 2013
- 113
- 14
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
Eti nini?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yutong first class kdgo zpo vzur ila scania hana mpinzani kabisa akifatiwa na marcopolo
Kutokana na ushindani Wa kibiashara ya kusafirisha abiria imebainika scania wameibuka washindi hasa kwa mwendo na durability hasa kwa safari za mbali,km dsm to mby,dsm to Mt.tulichangie wadau.
Wakuu kuna kitu wtau wanachanganya hapa, IRIZA, MARCORPOLO zote ni scania lakini hii inwakilisha Body desinged, haina uhusinano wowote na ingine dissgned mechanic engineering, etc. Durability mnayozungunzia hapa ni ya body au Engine? Kama ni Ingene Scania ni baba lao.Aaah sana
Kuna ile Scania ya Majinjah Dar-Sumbawanga ile ni noma aisee,nadhani njia nzima ya Mbeya hana mpinzani kwa mwendo. Unatoka Dar saa12 asubuhi unafika Sumbawanga saa6 usiku.Mabasi yote ya mchina yanatisha yakiwmapya,zaidi ya mwaka mmoja yanakuwa nyanya.scania inatisha mazee!,juzi nilipanda scania ya Mbeya to dar,inaitwa NGANGA hiyo n balaa hakuna Cha mchina yeyote alie tufuata kwa karibu
Na Scania Kama zingekuwa hazilipi nadhani Mremi wa Dar Express angekuwa ameshafunga biashara siku nyingi sana,maana yeye tangu aanze biashara ya usafirishaji Mabasi yake ni Scania tuu hana huo uchafu wa Kichina hata mmoja.Scania zinalipa. Umeona Marcopolo Andare Class za Hood na Abood?? Zina zaidi ya miaka kumi na bado hazikamatiki. Tafuta Yutong au Shuchi yenye umri huo uone kituko.
jamani,
hiyo safari ya mbali inayochemka yutong ni ipi?
dar to mza?
dar to songea?
dara to mbeya?
dar to arusha?
mnajua ni aina gani ya basi zmeshika hzo njia?
au mnazungumzia route za kigoma na bukoba?
mnajua aina gani ya gari zinaenda kigoma na bukoba?
1.mmewahi kujiuliza ni kwanini znaenda huko?
2.je?zilianzia huko au zimeenda huko baada ya kutumika sehemu nyingne?
hii pia inawahusu ndugu zetu wa lindi na mtwara japo siwaweki miongoni mwa safari ndefu.
kwa ishu ya usafirishaji wa abiria, yutong ni gari ya biashara![/QUO
kwa mfano marcopolo scania ina uwezo wa kutembea zaidi ya masaa 19 bila kupumzika huku ikiwa na pulling Ile Ile kwenye miinuko mirefu tofauti na yutong ambazo hutembea masaa 13 baada ya hapo Kama kuna milima basi itapanda kwa shida sana
hivyo kwa biashara yutong iko vizuri ila durability scania Ni machine hatari
new force hana yutong hata moja yeye ni zhongTong,superfeo ana yutong na higerMkuu kwa barabara ya Dar-Mbeya ni Yutong tu wengine wanafuta...
kuna new fors na super feo, Scania wanalia tu hapo.!!
bado sana huyo kuna kipisi cha newforce na golden deer pamoja na ilasi huyo majinja anagonga matako ya wenzie tuKuna ile Scania ya Majinjah Dar-Sumbawanga ile ni noma aisee,nadhani njia nzima ya Mbeya hana mpinzani kwa mwendo. Unatoka Dar saa12 asubuhi unafika Sumbawanga saa6 usiku.
Anauliza thamani ya Zidane na Lunyamila huyo.nasema usirudie tena kulinganisha Vijigari vyako na Scania,sawa wewe mtu?
mkuu utaniua kwa kucheka halafu niko kwenye watu wengi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Anauliza thamani ya Zidane na Lunyamila huyo.
Una uhakika na haya usemayo na ushawahi panda Majinjah?nishapanda hiyo Newforce ya Tunduma na Kyela bado sijaona ni vipi anamkalisha Majinjah.bado sana huyo kuna kipisi cha newforce na golden deer pamoja na ilasi huyo majinja anagonga matako ya wenzie tu
Kuna watu wengine humu hawajui kulinganisha vitu,Scania ni sawa na iPhone na Yutong ni kama Techno.mkuu utaniua kwa kucheka halafu niko kwenye watu wengi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hv happy nation n scania au yutong?Mkuu kwa barabara ya Dar-Mbeya ni Yutong tu wengine wanafuta...
kuna new fors na super feo, Scania wanalia tu hapo.!!